Recent content by Lihumbo1

  1. Lihumbo1

    JamiiForums Tanzania Aliyesamehewa na Magufuli amkuta mkewe aliyemuacha na watoto 2 ana watoto 6

    Penye ukweli usitake kuleta mzaha
  2. Lihumbo1

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina wazalendo wanne tu wa kupigiwa mfano, ambao ni Nyerere, Kawawa, Sokoine na Magufuli!

    Hujakosea kwakua si uhalisia ni mtazamo wako
  3. Lihumbo1

    JamiiForums Tanzania Sheria za kufuata unapotaka kumuacha Mke kwa talaka

    Allah akufanyie wepesi kwa ufafanuzi uliochanga mipaka ya kisheria na kwa imani yangu inaeleweka kwa kiasi kikubwa
  4. Lihumbo1

    JamiiForums Tanzania Dunia yapinga na kulaani uamuzi wa Trump juu ya Jerusalem

    Ndugu Yerusalemu ni mji mtakatifu Kwa imani yenu Kuna wengini hatuamini kuwa huo ni mji mtakatifu Na kwa imani yako ndio inakuonesha kuwa uislam ulianza juzi ila kwa wenye imani ya uislam wanaamini kuwa uislam ulianza kabla ya issa bin mariam(yesu) Enzi za nabii ibrahim bado uislam upo...
  5. Lihumbo1

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini niongeze kipato chagu

    maneno yako poa sana kwa mtu mwenye mazingatio ,
  6. Lihumbo1

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini niongeze kipato chagu

  7. Lihumbo1

    JamiiForums Tanzania Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

    Kaka maneno hayo unamaanisha nini?
  8. Lihumbo1

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa ya kufa mtu Dodoma inaendelea

    Allah awapesubira kwa msiba huo unaendelea dodoma ,serikali ndio yenyemaamuzi ya mwisho kwa mambo yetu ya kidunia hivyo watu wamuombe Allah awape zaidi ya hivyo vilivyo haribiwa
  9. Lihumbo1

    JamiiForums Tanzania Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    Kaka ukiona sms kama hizo daawa yake ni kuzipuuzia bila shaka akifanya siku mbili akagundua hakuna mafanikio hawezi kuendelea na hilo jambo, kwahiyo kukaa kwako kimwa kutamfanya atajifunza kitu akiwa mtu mwenye akili iliyosalimika.
  10. Lihumbo1

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku kusambaza picha hizi maana mnaongeza frustration za serikali

    Hizo picha zinazoonyesha nyufa ni za majengo ya serekali au mtu binafsi?
  11. Lihumbo1

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuaga maiti ni ya hatari sana

    Hii ya kuweka uwanjani ni kudhalilisha maiti
Back
Top Bottom