Naomba ushauri; simu gani nzuri ambayo nikinunua itakuwa imara kama hii ?

mysimu

Senior Member
May 2, 2017
151
44
Ndugu marafiki wanajamii wadau wa JF. Naombeni ushauri nina simu yangu aina ya samsung galaxy J7 ninataka niiuze na ina miezi 9 tangu niinunue.

Nataka niiuze ninunue simu nyingine. Sasa je ni simu gani nzuri ambayo ninaeza nikainunua ikawa imara kama hii niliyonayo ila iwe ya aina tofauti na samsung! Na isiwe apple!
NAOMBENI USHAURI.
 
Hahaa nunua Nokia lumia, ila kama si mjanja asubuh tu unairudisha, unaweza ukae dk 5 unatafuta call icon huioni, na zile tiles zivyozunguka kama uchawi utaishia kuzungusha kichwa tu km mjusi. Japo hutak ila mi nakushaur nunua samsung, kati ya A au C series za 2016 kuja juu au S ukiweza. Hutajuta.
 
Kwa ushauri wako je unanishsuri niiuze hii samsung galaxy j7 2016 yangu au bado iko sokoni kwa kati ya simu imara na bora au la?
 
Kuna mtu kafika bei 350,0000 ila naogopa kuiuza kwa kuogopa labda nitakua nimepoteza mimi. Ndio maana ushauri wenu nauhitaji!
 
Kwa ushauri wako je unanishsuri niiuze hii samsung galaxy j7 2016 yangu au bado iko sokoni kwa kati ya simu imara na bora au la?
huwezi pata upgrade ya maana ya hio simu kwa kiasi cha laki 6 kushuka chini mpya. labda upgrade ya kioo tu, lakini vitu vingi ni ya kisasa bado kwa midrange.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom