afad
hal
afadhalo umenistua.ninge ingia ttcl kumbe nayo ni hovyoo.kama airtel.mi natumia airtel .aisee inaboa sana.yaani ukishafika maeneo ya pugu inakata.mpaka saa nne usiku.natafuta kwa kuhamia kwa kweli
Waajili wanataka mtu ambaye wanaa uhakika ataweza kufanya kazi watakayo mpatia.hivyo lazima kuwashawishi kwamba unauwezo wa kufanya hiyo kazi wanayo kufanyia interview
hivyo kama ulikosa bas ujue uliyeshindana naye aliweza kumshawishi mwajili kwamba naweza zaidi yako
lakini unaonekana una...
hivi alitakiwa kufukuzwa au kisimamishwa kazi?
mbona wanavunja sheria za utumishi wa umma? au tayari imethibitishwa kwamba mali hizo alizipata kwa ufisadi?
Fadhy Bwana pole sana. kumbe elfu 39 ni mamilioni ya hela ?:cool:
QUOTE="Bujibuji, post: 17445913, member: 13443"]Uungwana una gharama zake.
Dakika chache zilizopita amenipigia mtu simu. Ametumia namba 0764882284, akajitambulisha anaitwa Paul akipiga simu kutoka Vodacom Huduma kwa...
pole sana dada.ni kama zile story za zamani pale mama anasema leta huo mhindi nikutengenezee njia ya kwenda kwa bibi kumbe nataka kula..
hii ngumu kwenda kushtaki ukweni.in away utaonekana hata wewe una tabia mbaya.maana like doughter like a mother
Chuo cha mtakatifu Joseph cha Sayansi na Teknolojia kilichopo Dar maeneo ya Mbezi Kimara kilifungiwa yale matawi yake ya Arusha na Ruvuma, kuna wanafunzi zaidi ya 700 walihamishiwa tawi la Dar es salaam.
Inaonekana bado uongozi wa chuo unataka kuendelea kutumia mtaala ule ule usio...
Vipi umeshauza ile ofisi yako kuuza majeneza pale Morogoro Hosptali?
au ndiyo maana unataka kuhamia maweni tokamzumbe.maana hizo nyuzi ni zako ulizotoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.