Mwisho
tukaoga, tupo tayari kusepa
Kufika reception namkuta yule mhudumu namwambia naenda kuchukua hela then naleta anipe cm yangu
Ndani ya dk 30 nikawa nimeenda nikarudi (kumbe mhudumu keshaingia kule room kakuta lile balaa japo tulifunika funika)
Nikakuta mtu anatokwaa mapovuu
Mimi nikawa mpole tu nkampa ela yake anipe cm yangu
Si akagoma et hadi nifue zile dam
Daaaaaah tukabishana kichz huku nkiomba msamaha
Mara boss anafika anaulza kuna nn hapa akajuzwa, weeh acha awakee!
Nkasema ili balaa, so ikanitoka 30000 ndo wakatulia nkachukua simu nikasepa"!