St. Joseph ni chuo cha kitapeli?

Lihove

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
209
69
Chuo cha mtakatifu Joseph cha Sayansi na Teknolojia kilichopo Dar maeneo ya Mbezi Kimara kilifungiwa yale matawi yake ya Arusha na Ruvuma, kuna wanafunzi zaidi ya 700 walihamishiwa tawi la Dar es salaam.

Inaonekana bado uongozi wa chuo unataka kuendelea kutumia mtaala ule ule usio tambulika na serkali. Mgogoro huo serikali iko kimya haijaingilia kati, lakini inaonekana kuna kitu wanfanya hawa wahindi wa chuo kunyamazisha serikali.

Kwa hiyo inaonekana ukisoma St.Joseph
 
Hata KIU, ni majanga watumishi Watanzania wanalipwa fedha kidogo sana na wageni lkutoka Uganda wanalipwa kupitiliza!

Kibaya Zaidi, chuo hicho kilichopo Gongo la mboto, ni chimbo la maafisa uhamiaji......maana huwa wana wataarifu wageni mapema kuwa leo msiende kaziini tunakuja kukaguwa wageni wasio ishi kihalali! Hivyoo watumishi wa pale siku za maafisa uhamiaji wanakuja....na wao huwa hawahudhurii kazini!

Kinachotia hasira Zaidi, ni majigambo yao kuwa serikali iliopo ipo mfukoni mwao hivyo hawana cha kuwafanya!
 
usitarajie huruma ya serikali wakati uliingia chuoni hapo kwa njia za vichochoroni. kwa ufupi serikali ilitumbua jipu japo usaa unang'angania ndani ...
 
Vyuo vingine vinatakiwa vihakikiwe upya ili kujiridhisha kama kweli vinaweza kutoa elimu inayotolewa. Hapa tunaweza kukuta vyuo vingi vikafungiwa hasa ukizingatia maamuzi ya serikali iliyopita yanavyotia mashaka
 
chuo cha mtakatifu joseph cha sayansi na tecknolojia kilichopo Dar maeneo ya mbezi kimara.kilifungiwa yale matawi yake ya Arusha na Ruvuma kuna wanafunzinzaidi ya 700 walihamiahiwan tawi la Dar es salaam.lakini inaonekana bado uongozi wa chuo unataka kuendelea kutumia mtaala ule ule usio tambulika na serkali.mgogoro huo serikali iko kimya haijaingilia kati.lakini inaonekana kuna kitu wanfanya hawa wahindi wa chuo kunyamazisha serikali.kwa hiyo inaonekana ukisoma St.Joseph
Kama unasoma au ulipitia hapo St Joseph inaonyesha dhahiri tatizo si chuo tatizo ni wanafunzi. Sasa kama wewe hiki ulichoandika hapa kina logic gani? kimekaa kama unafiki ama uongo au ni majungu na hata ujinga tu wa kutojua pointi gani ulizotakiwa uandike.

Siku chache zilizopita waziri Ndalichako alikuwa hapo chuoni wakati mmegomea mitihani ya semester ya kwanza akawananga mkaonekana majuha hamjui hata mnachogomea mkaingia kufanya mitihani, eti madai mtaala wa sayansi ni wa India wakati biology na Physics dunia yote ni hiyo hiyo, hata uende Amerika ni hiyo hiyo si mngemgomea Ndalichako moja kwa moja kama hamkubaliani na mtaala mnaosema ni wa India? Mmekalia majungu tu.

Acheni ujinga kama mmeenda kusoma someni msihangaishe wazazi wenu. St Joseph collage of Engineering and Technology cha Dsm ni moja ya vyuo vinavyoheshimika hivi sasa duniani wewe unatuletea uongo wako hapa.

Wewe kama msomi bainisha sababu za nguvu za kukiponda chuo cha Dar siyo unaparaza juu juu. Kwa vyuo vya Songea na Arusha sina tatizo na wewe vilikuwa na udhaifu mkubwa uliochangiwa na TCU yenyewe, ila anayeona hakubaliani na material ya chuo cha St Joseph ya Dsm arudi kwao kama alivyojipeleka mwenyewe.
 
Mkuu kwenye "kuheshimika kwa sasa duniani" nimepata ukakasi kidogo hila usinifikirie vibaya
 
Kwani university zina mitaala ya serekali? Hahahahhahh
 
Mkuu kwenye "kuheshimika kwa sasa duniani" nimepata ukakasi kidogo hila usinifikirie vibaya
Ni kweli hapo nimeteleza, siyo duniani kinaheshimika kwa wahindi ktk kutoa mainjinia wazuri na teknolojia, nami sina uhakika na wanaochukua Education.

Ila tuwalaumu wataalam wetu ndio hawako strict sana na vyuo vingine hivi vya kijinga, wanaziona hitilafu lakini kwa ubinafsi wao wanawaacha watoto wetu wanaharibiwa.
 
Kama unasoma au ulipitia hapo St Joseph inaonyesha dhahiri tatizo si chuo tatizo ni wanafunzi. Sasa kama wewe hiki ulichoandika hapa kina logic gani? kimekaa kama unafiki ama uongo au ni majungu na hata ujinga tu wa kutojua pointi gani ulizotakiwa uandike.

Siku chache zilizopita waziri Ndalichako alikuwa hapo chuoni wakati mmegomea mitihani ya semester ya kwanza akawananga mkaonekana majuha hamjui hata mnachogomea mkaingia kufanya mitihani, eti madai mtaala wa sayansi ni wa India wakati biology na Physics dunia yote ni hiyo hiyo, hata uende Amerika ni hiyo hiyo si mngemgomea Ndalichako moja kwa moja kama hamkubaliani na mtaala mnaosema ni wa India? Mmekalia majungu tu.

Acheni ujinga kama mmeenda kusoma someni msihangaishe wazazi wenu. St Joseph collage of Engineering and Technology cha Dsm ni moja ya vyuo vinavyoheshimika hivi sasa duniani wewe unatuletea uongo wako hapa.

Wewe kama msomi bainisha sababu za nguvu za kukiponda chuo cha Dar siyo unaparaza juu juu. Kwa vyuo vya Songea na Arusha sina tatizo na wewe vilikuwa na udhaifu mkubwa uliochangiwa na TCU yenyewe, ila anayeona hakubaliani na material ya chuo cha St Joseph ya Dsm arudi kwao kama alivyojipeleka mwenyewe.
Acha kudanganya umma, eti kinaheshima duniani, kwa vigezo vipi,mtu anasoma mechanical engineering hana hata workshop ya kujifunza kwa vitendo, mpaka leo chuo hakijawahi andika hata research paper yeyote kuhusu science then mnajiita college of engineering, ki ukweli kama unasoma ST.joseph university unapoteza muda tu.....hakuna chochote zaidi ya kuitana attendance na kuvaa shart zenye kola utadhani hivyo ndio vinavyosoma.
 
You must be hopeless also. It is not the matter of biology or chemistry, being universal, but the content and depth of the material to a particular level of learning
 
St Joseph collage of Engineering and Technology cha Dsm ni moja ya vyuo vinavyoheshimika hivi sasa duniani wewe......

.

Dunia ya wapi hiyo!!? Watu wengine huwa mnataka kupigisha watu ban bure tuu
 
Kama unasoma au ulipitia hapo St Joseph inaonyesha dhahiri tatizo si chuo tatizo ni wanafunzi. Sasa kama wewe hiki ulichoandika hapa kina logic gani? kimekaa kama unafiki ama uongo au ni majungu na hata ujinga tu wa kutojua pointi gani ulizotakiwa uandike.

Siku chache zilizopita waziri Ndalichako alikuwa hapo chuoni wakati mmegomea mitihani ya semester ya kwanza akawananga mkaonekana majuha hamjui hata mnachogomea mkaingia kufanya mitihani, eti madai mtaala wa sayansi ni wa India wakati biology na Physics dunia yote ni hiyo hiyo, hata uende Amerika ni hiyo hiyo si mngemgomea Ndalichako moja kwa moja kama hamkubaliani na mtaala mnaosema ni wa India? Mmekalia majungu tu.

Acheni ujinga kama mmeenda kusoma someni msihangaishe wazazi wenu. St Joseph collage of Engineering and Technology cha Dsm ni moja ya vyuo vinavyoheshimika hivi sasa duniani wewe unatuletea uongo wako hapa.

Wewe kama msomi bainisha sababu za nguvu za kukiponda chuo cha Dar siyo unaparaza juu juu. Kwa vyuo vya Songea na Arusha sina tatizo na wewe vilikuwa na udhaifu mkubwa uliochangiwa na TCU yenyewe, ila anayeona hakubaliani na material ya chuo cha St Joseph ya Dsm arudi kwao kama alivyojipeleka mwenyewe.
Lecturer vs Student
 
Hiki chuo kimewahi kupewa majina mengi tu, lakini hili la kudahili watu wa cheti wasome degree limeonyesha kwamba hiki chuo kinahitaji kupewa adhabu kama waliopewa wenzao wa st.Joseph songea kwa kutoa elimu ya mwendokasi.
 
Tunasubiri kauli ya mkuu wa chuo kuhusu kumdahili mtu wa cheti asome degree baadala ya diploma
 
Kama unasoma au ulipitia hapo St Joseph inaonyesha dhahiri tatizo si chuo tatizo ni wanafunzi. Sasa kama wewe hiki ulichoandika hapa kina logic gani? kimekaa kama unafiki ama uongo au ni majungu na hata ujinga tu wa kutojua pointi gani ulizotakiwa uandike.

Siku chache zilizopita waziri Ndalichako alikuwa hapo chuoni wakati mmegomea mitihani ya semester ya kwanza akawananga mkaonekana majuha hamjui hata mnachogomea mkaingia kufanya mitihani, eti madai mtaala wa sayansi ni wa India wakati biology na Physics dunia yote ni hiyo hiyo, hata uende Amerika ni hiyo hiyo si mngemgomea Ndalichako moja kwa moja kama hamkubaliani na mtaala mnaosema ni wa India? Mmekalia majungu tu.

Acheni ujinga kama mmeenda kusoma someni msihangaishe wazazi wenu. St Joseph collage of Engineering and Technology cha Dsm ni moja ya vyuo vinavyoheshimika hivi sasa duniani wewe unatuletea uongo wako hapa.

Wewe kama msomi bainisha sababu za nguvu za kukiponda chuo cha Dar siyo unaparaza juu juu. Kwa vyuo vya Songea na Arusha sina tatizo na wewe vilikuwa na udhaifu mkubwa uliochangiwa na TCU yenyewe, ila anayeona hakubaliani na material ya chuo cha St Joseph ya Dsm arudi kwao kama alivyojipeleka mwenyewe.
Yaonekana una maslahi hapo. Chuo uozo kabisa wahindi cku zote wababaishaji tu.
 
Back
Top Bottom