Recent content by libent

  1. libent

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba baadae awe mke wangu

    Niko serious, haya maisha bila kuwa na mwenza hayaendi kabisa. Umri wangu ni 30yrs Elimu ni Bachelor degree Rangi ni Maji ya kunde Mrefu wa wastani Sifa za mwanamke asiwe mwanamke chakaramu
  2. libent

    JamiiForums Tanzania barua ya wazi kwa ben saanane

    Hivi Madame B ataacha lini tabia ya kuwapanga wanaume
  3. libent

    JamiiForums Tanzania barua ya wazi kwa ben saanane

    siku si nyingi utaitwa cha wote a.k.a maharage ya mbeya
  4. libent

    JamiiForums Tanzania barua ya wazi kwa ben saanane

    Umeachana lini na The secretary?
  5. libent

    JamiiForums Tanzania LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

    wananchi walio wengi wamekuja kuwashangaa hao wasanii yaani wamekuja kuburudika
  6. libent

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mtu anayeitwa Salmin Dauda,

    Mkuu nimekupm tayari msaada wako ni mali kwangu
  7. libent

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mtu anayeitwa Salmin Dauda,

    Hapana sipajui na mimi niko huku mkoani wala ofisi yake sijui iliko
  8. libent

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mtu anayeitwa Salmin Dauda,

    Jamani mwenye contact zake naomba anisaidie alikuwa mwalimu wangu. Now ni CEO wa Tanzania Youth Bank. Kama unamjua naomba unpm tafadhali
  9. libent

    JamiiForums Tanzania msaada: mwanangu jicho linatoa matongotongo

    mtoto wangu nahisi anateseka maana jicho litoa matongotongo. Hapo mwanzo tulishauriwa mama yake amkamulie maziwa yake lakini bado hali inaendelea. Halafu ni siku ya nne hajapata choo. Ni mtoto wa mwezi mmoja
  10. libent

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ahutubia taifa mwisho wa mwezi Februari

    heee kamaliza aisee tunae rahisi sio raisi
  11. libent

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ahutubia taifa mwisho wa mwezi Februari

    kwa nini hautubie usiku na anahutubia saa ngapi maana naona TBC wameweka michezo ya maigizo
  12. libent

    JamiiForums Tanzania Jamani huyu aliyeko alieko na prezidaa ni nani????

    na huyo aliyeko upande wa kulia ni nani ?
  13. libent

    JamiiForums Tanzania Majina maarufu ya Kihaya

    Hilo la Katemana mbona ni utata
  14. libent

    JamiiForums Tanzania Natangaza nampenda "Smile"

    Si vibaya ukavunja ukimya
  15. libent

    JamiiForums Tanzania IDs za JF na Matukio

    Hiyo chaka it means The Revange
Back
Top Bottom