Jamani huyu aliyeko alieko na prezidaa ni nani????

Wa kushoto au wa kulia kwake? Natumai utakua unauliza wa kushoto kwake :lol:

Na kile kiti chetu nakiona!!
 
Wana JF ni fahamisheni huyu alie mechisha na prezda ni nani na hizo papmba kapewa na prezda au yeye ndo kampa prezda wetu hii ni kali???

wajuzi is this proper??

presidential awards on the extractive Industry corporate social responsibility and empowermeny
nd25.jpg
 
Wamependeza sana hata ukisoma kwenye gazeti la Mwananchi la leo 01/03/2012 ukurasa wa 5 huyo dada amekenua kweli kuliko hata mama Salma akiwa na mzee wake.
 
aliambiwa kawa sawa na furahi kidogooo ...pichaaaaaaaaa ndo maana unamuona hivo
 
Wanaosema mkulu JK fisadi nawatilia shaka,mafisadi wanakuwaga na nyuso zinang'aa cause ya mshiko.sasa Jk mbona sio, uso unafifia namna hii?
 
mimi hili vazi sijalikubali kama ndio la taifa!yani wanawake wote wavae kama huyo mama na wanaume vazi kama alovaa jk?sijaona ubunifu hapo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom