Habari za leo wadau. Natafuta fundi anayeweza kujenga tanki la maji la chini ya ardhi kuanzia tanki lenye ujazo lita elfu 24 za ujazo na kuendelea. Ningependa awe fundi asiyetumia teknolojia ya matofali lakini hata kama ni wa matofali naomba uni PM tuzungumze biashara. Nitafurahi hyo fundi awe...
Babu Duni ambaye ni mgombea mwenza wa CHADEMA amepata umati wa kufa mtu Bukoba kwenye mkutano wake wa Kampeni mjini Bukoba uliofanyika sokoni kata ya KASHAI. Kwa matukio zaid tembelea http://bukobawadau.blogspot.dk/2015/10/mkutano-wa-juma-duni-haji-mjini-bukoba.html#.ViF8GTahfIU
Swali dogo tu "Who is Mzee Mwanakijiji?" Watu washafanya uamuzi juu ya nan watampa kura. Unatupigia kelele ukiwa Marekani ehe? Njoo Tz upande jukwaani kama unahis wewe unastahili zaid au ni mind changer vinginevyo endelea kutafuta unga kwa ajili ya wanao!! Nani amekuweka uweze kufikiria au...
Duh habari umeiandika utafikir umekurupushwa. Katibu mwenezi wa wapi? Kituo chake cha kazi? Anaitwa nani? Ni kampeini meneja wa nani? Je na wewe ni great thinker wa JF? Kweli JF imevamiwa. Moderators angelieni hzi habari zenye mapungufu makubwa hazikai hata dk 5 hewani
matokeo yalikuwa hvi. Kwanza UDSM main campus ina wanataaluma kama 1090. Waliohudhuria mkutano huo ulikuwa na ajenda ya uchaguzi ni kati ya 70 hadi 80. Katika ajenda hiyo ya uchaguzi Kwnye nafasi ya uenyekiti Prof. Kitila alipata kura 51, wa pili, Dr. V. Anney 20 na Dr. Tarmo 7. nafasi ya makamu...
mmhm kwa taarifa za ndani zinadokeza kuwa tuhuma alizotuhumiwa nazo zina ukwel kwa kiasi kikubwa ila kutomharibia heshima yake mbele ya jamii ndo wakakubaliana kuwa wamrudishe alaf baadae aache kazi akishapata sehem nyingne. ukitaka kujua ukweli juu ya hili ni kuwa toka baada ya kurudishwa ofcn...
Nakupongeza Dr. Kitila kwa kuja jamvini kujib na kutoa ufafanuzi na pia niwapongeze wanaUDASA kwa ufanya uchaguzi wao. Huwa sipendi nami kuwaongelea watu lakin kwa ufupi tu kuongezea aliyoyasema ndugu "Malolella" juu ya Dr. F.Michael. Dr. huyu pia huwa anajihusisha na siasa za Mkoa wa Kigoma kwa...
Nafikir hii habari ungepata wasaa wa kuiandika pemben kwanza kwenye simu au kompyuta ndo uweze kuiweka jamvin ikiwa imekamilika kuliko ulivyoileta robo. Kwa sasa huwez kupata mchango wowote kwa watu inakuwa kama zile hadithi za kwenye magazeti pendwa yanayotoa stori wiki baada ya wiki ili watu...
Very myopic JF great thinker Mafilili. Ilikuwaje wakashinda Tarime baada ya kifo cha Chacha Wangwe? Sio lazima uanzishe thread unaweza kusoma kilichoandikwa na watu wengine tu ili uzidi kujifunza namna ya kufikiri vizuri sio kwa kuanzisha thread isiyokuwa na substance
Katika Sherehe za leo Kardinal Pengo ametoa TAMKO kuwa Lowassa hakualikwa kama mgen rasmi ila alialikwa mke wake ambaye ni mkatoliki ndo Lowassa naye akajipenyeza. lakin cha kushangaza kulingana na kardinal ni kuwa baada ya kujipenyeza akapewa nafasi ya kusalimia wananchi ndo akatumia mwanya huo...
Mmmhm muanzishaji wa thread najua unafikra nzuri za kuona Tz inakombolewa lakin tatizo inaonekana humfahamu vizuri mtu unayemuongelea .Mtikila anakula huku huku, haaminiki.kumbuka lile tukio la mama rwakatale na kakobe, Rostam na Mengi.ila kama unafahamiana naye in person unaweza kuongea nae...
ukweli ndo huo kuwa hiki chama hakina mvuto na kinaelekea kufa mara ya pili Kafulila kaondoka nacho.Mkosamali anza kujipanga kuondoka NCCR kama unataka kurud 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.