Recent content by LEXAPRO3000

  1. LEXAPRO3000

    Inawezekana Russia wapo imara katika masuala ya mitandao kuliko Marekani

    Several waves of major cyberattacks against an internet directory service knocked dozens of popular websites offline today, with outages continuing into the afternoon. Twitter, SoundCloud, Spotify, Shopify, and other websites have been inaccessible to many users throughout the day. PEOPLE...
  2. LEXAPRO3000

    Rais Magufuli timiza ahadi yako ya kuwapatia mikopo wanafunzi wote wa Vyuo Vikuu Mwaka huu

    Jamii forum inabaki kuwa jukwaa lisilo na unafiki...#TanzaniansOfTwitter wako busy wanajadili uchaguzi wa marekani!! matatizo kama haya yanayogusa nchi yao wengi wao wanajifanya hawayaoni!!
  3. LEXAPRO3000

    Clouds hamkomi? Diamond atawaponza

    Wanasiasa wote wanafahamu nguvu ya wasanii kwenye ushawishi...usidhani hapa kina nape hawawazi watamtuliza vp....!!! inawezekana kilichomkera sio kudhulumiwa au serikali kutowajali bali ni kukatwa kodi
  4. LEXAPRO3000

    Clouds hamkomi? Diamond atawaponza

    Usitegemee serikali itarudi na jibu la hasira kwa diamond....mwanasiasa anayejua siasa anatambua ni rahisi kwa mwanamuziki mwenye influence kubadili akili za walio wengi kuliko mwanasiasa kufanya hivyo....!!! Hata 2013 ht kabla ya uchaguzi ashawahi lalamika hilo ila wakati wa uchaguzi mwaka huu...
  5. LEXAPRO3000

    Clouds hamkomi? Diamond atawaponza

    Msigwa na Diamond ni watu tofauti....influence zao tofauti...na reaction ya serikali ni tofauti kwa watu hao #RulesOfPower
  6. LEXAPRO3000

    Hospitali Binafsi hatarini: NHIF washusha gharama za matibabu kwa zaidi ya asilimia 60

    mkuu ukitaka hospitali yako isiende anzisha kuchukua wateja wa bima ya afya badala ya cash for service....huduma za bima za afya NHIF acha mashirika mengine ni pasua kichwa hasa katika ulipaji
  7. LEXAPRO3000

    Kupunguza BP bila Madawa

    Naomba kuuliza kama kuna aina ya vyakula ninavyoweza kula ili kupunguza Blood Pressure kwa haraka. Nimetumia Dawa kwa kipindi cha miezi michache na BP imeshuka toka 176/116 hadi hivi karibuni 152/93 kiwango ambacho bado sijakipenda. Je mbali na mazoezi kuna aina ya vyakula naweza kula kupunguza...
  8. LEXAPRO3000

    Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    My best was DRAG ME TO HELL. Events occurred unexpected plus sound effect was good much appreciated in theater...0% blood 0%nudity 100% adrenaline surge.
  9. LEXAPRO3000

    Ndege Mpya ya ATCL katika picha

    Kuanzia Leo tutakutana sana na wataalamu wa ndege wa kitanzania, kuna mtu hapa ananielezea saluti ya kumwagiwa maji kama ana phd ya maswala ya ndege wakati ht ndege hajawahi kupanda
  10. LEXAPRO3000

    Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

    SIMPLY "not organized" watu wanacheza kama kina "kaoge" 11 wako uwanjani wamevaa jezi nyekundu
  11. LEXAPRO3000

    Vitu nane vinavyomfanya mwanamke wa kitanzania awe mjinga zaidi na "useless"

    Miaka kadhaa iliyopita walikuwa wanalia sana kwamba sababu za kushindwa kuinuka ilikuwa ni kunyimwa nafasi ya kusoma sasa hivi wamepewa ila kinachofanyika ni tofauti na juhudi zao...ndo maana hukawii kusikia wale wanawake wenye sauti wakipiga kampeni wakilia kwamba kuhongwa ni lazima na wale...
  12. LEXAPRO3000

    Here is USA army force Vs RUSSIA army force

    US mara nyingi anaonekana mbabe kwa sababu vita vingi huwa anavamia...na siku zote ukiwahi kuvamia hasimu wako utaonekana umeshinda kwa sababu tofauti na wanajeshi wako na silaha za kivita huna kingine cha kupoteza lakini mpinzani wako atakuwa na vingi vya kupoteza kama raia, miundombinu nk...
  13. LEXAPRO3000

    Maabara nzuri ya afya jijini Dar.

    google lancert laboratory tanzania unaweza ona nembo yake inaweza kukusaidia katika kuzitafuta
  14. LEXAPRO3000

    Maabara nzuri ya afya jijini Dar.

    kama unatafuta maabara ya kujitegemea bila kuonana na Dr/hosp nenda lancet laboratories...kwa dar wana matawi sehemu mbalimbali moja lipo muhimbili nje na posta nadhani lipo
  15. LEXAPRO3000

    Hawa ni zaidi ya Diamond na Ali Kiba

    unaweza hisi mwanamuziki unayempenda na mwanamuziki bora kuliko wote hii inatokana taste yako ya muziki...na hili haliwezi kufanya mwanamuziki usiyependa muziki wake asiwe bora kwenye eneo lake..!!! ukubwa wa Fanbase ya mwanamuziki hutegemea jinsi gani mwanamuziki ameweza kuwavutia watu wengi...
Back
Top Bottom