Nakumbukuka kipindi hicho 2006 kipindi nipo form 2 likizo narudi nyumbani (moshi) Daaah kufika home nakuta mbwa mgeni tofauti ya yule nilomwacha,,
Bwana bwana nakumbuka iyo siku nimemaliza kula chakula cha usiku nikaenda nje kupunga upepo kidogo,, Ee bwana kumbe dada wa kazi katoka nje kwenda...
Hii kombi dogo ndo anaitaka but kuwa mdau kamshauri akasome Hge kuna kozi tamu sana akienda chuo huyo mdau kamaliza pale ardhi university kozi ya building survey
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu member wa Jf,, natumaini mko vizuri kiafya.
Kichwa cha habari kama kinavyojieleza na mdogo wangu kahitimu form 4 mwaka jana na anahitaji kusomea kombi za sayansi bahata mbaya maths aliharibu sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kombi gani ya sayansi atasoma kwa matokeo haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.