Lewis Maker
Member
- Jan 25, 2019
- 47
- 16
Habari zenu wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi huwa napata sana ilo tatizo la moyo kwenda mbio sana sana wakati wa usiku pia nikistuka pia moyo unaenda kasi sana mpaka inanibidi niamke nikae kwanza utulie pia hata wakati wa mchana ila sio sana,
Naombeni ushauri wenu katika pia nilishaenda hospital kupigwa x Ray pamoja kupima presha ila wakasema sina
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni ushauri wenu katika pia nilishaenda hospital kupigwa x Ray pamoja kupima presha ila wakasema sina
Sent using Jamii Forums mobile app