Kati ya HGE na CBG ipi yenye kozi nzuri chuoni?

Kati ya HGE na CBG ipi yenye kozi nzuri chuoni?

Lewis Maker

Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
47
Reaction score
16
Habari za muda huu member wa Jf,, natumaini mko vizuri kiafya.

Kichwa cha habari kama kinavyojieleza na mdogo wangu kahitimu form 4 mwaka jana na anahitaji kusomea kombi za sayansi bahata mbaya maths aliharibu sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kombi gani ya sayansi atasoma kwa matokeo haya (nitayaweka mwisho) na pia nilitaka kujua kati ya kombi ya HGE na CBG ipi yenye kozi nzuri chuoni. Ana division ll ya 21,

(PHY-D, CHEM-D, BIOS-B, GEO-C, MATH-F, ENG-B, KISW-C, CIV-D, COMP-C, HIST-C)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti nasikia HGE huwezi chaguliwa ukiwa na F ya math
 
Hivi siku hizi F ya math haupigwi penalty maana naona mtu ana mswaki wa no Ila division inasoma vilevile kama ni 1 au 2
 
Kijana kwanza unatakiwa ujue una malengo gani na hicho unachokisoma ndipo mengine yanafuata, hata ukisoma KLF inalipa kulingana na malengo yako kwani moja ya kazi ya elimu ni kukufanya uweze kupambana na changamoto zinazokuzunguuka
 
Habari za muda huu member wa Jf,, natumaini mko vizuri kiafya.

Kichwa cha habari kama kinavyojieleza na mdogo wangu kahitimu form 4 mwaka jana na anahitaji kusomea kombi za sayansi bahata mbaya maths aliharibu sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kombi gani ya sayansi atasoma kwa matokeo haya (nitayaweka mwisho) na pia nilitaka kujua kati ya kombi ya HGE na CBG ipi yenye kozi nzuri chuoni. Ana division ll ya 21,

(PHY-D, CHEM-D, BIOS-B, GEO-C, MATH-F, ENG-B, KISW-C, CIV-D, COMP-C, HIST-C)

Sent using Jamii Forums mobile app


!
!
Kama Hisabati Hayuko Vizuri Aachane Na Sayansi Kwa Sababu Huko Pia Kuna Kitu Kinaitwa Basic Applied Mathematics Au BAM Na Yenyewe Ni Shida
 
Kwani anataka kusoma kwa Sababu Kozi ni Nzuri, au anataka kusoma kutokana na Future Plan Yake?
 
Back
Top Bottom