Ukweli: Umaskini ni mbaya zaidi ya UKIMWI

Ukweli: Umaskini ni mbaya zaidi ya UKIMWI

Mtoa uzi apa mim Napitia comments za wanaokupinga, ili hali ukwel wanaujua
 
Mbona mimi sina hela na ndugu wananisikiliza kuliko ndugu wengine wenye hela? Pesa sio kila kitu.
Wanakusikiliza au wanakaa kimya usiye na hoja umalize kuongea then waendelee.Sio kila utulivu inamaana unasikilizwa.Muda mwingine ni ile huyu naye si amalize atupishe.Na Rrondo ulivyo mbishi Sasa lazma wakuache useme.
 
Mbona mimi sina hela na ndugu wananisikiliza kuliko ndugu wengine wenye hela? Pesa sio kila kitu.
Huna akili ya kukutoa kwenye umaskini, sasa akili ya kuwashauri ndugu zako unaitoa wapi
 
Hujaumwa wewe. Kuna watu wana billions wanatamani wazitoe ili tu wapate afya njema.
Jamaa anaweza kuwa sahih kwa muono wake mkuu. Nadhan anajarib linganisha matatzo. Ni kama mwingine aseme heri ukimwi kuliko kansa. Anakusudia kumaanisha...ni heri kuwa na ngoma lakin ukawa na hakika ya kuyapata yaliyo ya msingi (chakula,malazi,mavazi)kuliko kuwa negative na usiwe na nafasi ya kupata ya msingi. Anasema hayo akiwa hajawah ona ugum wa kuwa na ukimwi zaid ya maisha kupunguziwa urefu.
 
Magonjwa ni kitu kingine huwezi kufananisha na kitu chochote wapo wenye kipato na wapo hospital hoi...asilimia kubwa ya Watanzania ni masikini mbona tupo poa tuu au wanaposema Tanzania ni Nchi masikini ina maana ninyi raia ni matajiri hapana nasi tupo kwenye kundi la umasikini...
 
MTU masikini hawezi kusikilizwa katika kundi LA wanaojiweza au katika familia zetu hizi za kitanzania, ila afya njema ni utajiri mkubwa kuliko utajiri wowote duniani.
 
Hujaumwa wewe. Kuna watu wana billions wanatamani wazitoe ili tu wapate afya njema.
Ila sio kwenye ukimwi, ukiwa na billions ukimwi ni jambo dogo tu unaweza ishi hadi unakufa mzee kwa kutumia dawa, labda magonjwa mengine ambayo hata ukiwa na hela kiasi gani chance ya kusurvive ni ndogo.
 
Mimi naamini kuwa umaskini ni janga baya zaidi ya UKIMWI.

Vijana tutafute fedha tuache masihara.

Ukiwa maskini hata kwenye kikao cha familia ukinyoosha kidole utoe hoja utaonekana unataka kutia fujo kwenye kikao.

pesa bila mawazo si pesa na mawazo bila pesa si mawazo.
 
Back
Top Bottom