Jamaa anatembea na lowasa no Asiraji Mvungi ambae huripoti kutokea Arusha.Inaonekana c mzuri kwenye editing coz studio wao wanarusha habari kama ilivotumwa na mwandishi(reporter) kutoka eneo husika.Anaepitia hiyo habari kabla haijaruka ni news editor ili kucheki kama haina utata.So huyu Mr...
Kama jeshi linakiuka code of conduct kwa nn wasiambiwe? Usidhani watz wa leo ndo wale wa enzi zenu humtishi mtu hapa.Na kwa taarifa yako taarifa hizi zinatoka huko huko jeshini tena ngazi za juu.Wanajeshi nao wanataka reforms usituletee mikwara yako jiangalie ww.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.