Suppression of Dissent; Mbowe ni Shujaa

Suppression of Dissent; Mbowe ni Shujaa

UKAWA TOLEO JIPYA HAIFAI KUPEWA DHAMANA YA KUONGOZA TAIFA HILI PENDWA LA JMT, NI GENGE LA WAHUNI, WASALITI WA MISINGI YAO, VIGEUGEU, WANAFIKI NA WAZANDIKI WALIOTUKUKA, watanzania hatupo tayari kuuza nchi yetu, TUMESHASEMA KWA WINGI KUWA HATUTACHAGUA UKAWA TOLEO JIPYA.

Mliotolewa ufahamu endeleeni na UZEZETA WENU.

Kwa hiyo kwako wewe ccm mabingwa wa ahadi zisizokwisha ndo utawakabidhi nchi...??
Mtu anakuahidi hadi ahadi zilizokwisha kuahidiwa na watangulizi wake... wewe upo tuunapiga makofi na vigele gele kama zuzu...

ccm mje kivingine.... mnawaboa sana common wananchi!!!
 
Kazi kwelikweli.
FB_IMG_1441365390483.jpg
 
Ngoja na ya mbowe yatakapoanza uone nae utamwitaje
 
UKAWA TOLEO JIPYA HAIFAI KUPEWA DHAMANA YA KUONGOZA TAIFA HILI PENDWA LA JMT, NI GENGE LA WAHUNI, WASALITI WA MISINGI YAO, VIGEUGEU, WANAFIKI NA WAZANDIKI WALIOTUKUKA, watanzania hatupo tayari kuuza nchi yetu, TUMESHASEMA KWA WINGI KUWA HATUTACHAGUA UKAWA TOLEO JIPYA.

Mliotolewa ufahamu endeleeni na UZEZETA WENU.

ukiona mtu anapost maneno kama ya Baa medi ujue ana mgando wa akili
 
ukiona mtu anapost maneno kama ya Baa medi ujue ana mgando wa akili

Inawezekana kuna watu wako overexcited, lakini naweza kuelewa kwa nini watu wanafeel hivyo.

CHADEMA imekuea ikimuita Lowassa fisadi papa siku zote hizi, leo Lowassa huyu huyu ndiye mgombea wao wa urais?

Kulikoni?
 
Tatizo lake moja

Hana Price Tag
Hana Price Tag my foot. Mbona tayari ameshanunuliwa na Lowassa na genge lake la mafisadi? Ni chama cha familia na wakuja ndo wataendelea kubambikizwa usaliti na kupukutishwa lakini familia daima itabaki. Hata hawa akina Antipas acha tu waropoke saa hivi. Siku yao ya kuvishwa taji la usaliti inakuja!
 
Strong Leader Husimama Pekee na kuyashinda majaribu ya Kila aina ... Wote walioondoka wana Price Tag Mgongoni mwao ...
Do you believe in tyranny and high churn?

Kama Mbowe angekuwa meneja wa sehemu ambayo key people wanaondoka hivyo, ingebidi aulizwe sana kuhusu management yake.

Inawezekana yeye ndiye mwenye tatizo.
 
Hakuna uwezekano hata wa asilimia 30 kwa CHADEMA kuweza kushinda uchaguzi wa mwaka huu..,kwa maana hiyo ni kuwa MBOWE aanze mazoezi ya U-dj kama ilivyo katika mapendekezo yako hapo juu..Nashukuru.

Kwanini mnapenda kuleta mandoto yenu humu jamani...UKAWA inachukua nchi 25 Octoba asubuhi mapema
 
Alichokifanya Mbowe ni kile alichokuwa anakifanya Sir Alex ferguson.Kuwauza wachezaji bora kwenye timu kama Paul Pogba,Diego Forlan,Carlos Tevez,David Beckham,Phil Nevile,Christiano Ronaldo,Ruud Van Nestarooy n.k lakini still timu ilizidi kuwa Bora ili kuithibitishia dunia kuwa yeye kama kocha ni BORA zaidi kuliko mchezaji yeyote kwenye timu!
 
Pamoja na yooote kubadili chama tawala ni miongoni mwa mbinu ya kuwadiscipline wanasiasa ili wasibweteke na kuifanya nchi hii ya kifamilia,PIGA CHINI CCM WEKA UKAWA tujenge nchi upya! Nashukuru Mungu watz wanazidi kufunguka na kuliona hili watu wamejikatia hati milki ya nchi kinyemela tuuuuu!
 
Kuvunja katiba ya chama kilichoanzishwa miaka kadhaa iliyopita kwa muda wa siku moja, kwa ajili ya mtu mmoja, aliyeitwa fisadi ndio ushujaa wenyewe wa kilofa.

i see mkapa hakukose kuwaita wapumbavu na malofa
 
11896122_116820222004365_5517283645239146399_n.jpg



SUPPRESSION OF DISSENT occurs when an individual who is more powerful than another tries to directly or indirectly censor, persecute or otherwise oppress the other party, rather than engage with and constructively respond to or accommodate the other party's arguments or viewpoint. When dissent is perceived as a threat, action may be taken to prevent continuing dissent or penalize dissents.

Tafsir ya maneno ya hapo juu ni hii;

UKANDAMIZAJI WA UPINZANI hutokea wakati mtu ambaye ana nguvu zaidi ya wenzie anapojaribu moja kwa moja ama kwa namna yeyote ile kuwadhibiti, kuwatesa au kuwaonea wengine, badala ya kushirikiana/kujihusisha nao katika kuboresha ama kujibu hoja au mitazamo ya wenzake hao. Jambo hili hufanyika ikiwa huyu mmoja anaona wale wengine ni tishio, huchukua hatua za kuwazuia wenzake ama kuwashurutisha na kuwaondoa.

KUTOKANA na picha ya hapo juu;

Kutoka kulia;

Hamad Mussa Yusuph (mwenye kombati nyeusi "Msaliti") - Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA znz ambaye kwa sasa ni mgombea mwenza wa ACT Wazalendo.

Aikaeli Freeman Mbowe (SHUJAA) - M/kiti wa CHADEMA wa wakati huo na wa sasa.

Wa katikati, Peter Wilbrord Slaa (Msaliti) - Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, kwa sasa ni Mwanaharakati asiye na chama.

Mwenye fulana ya M4C, Said Arfi (Msaliti) - Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara ambaye kwa sasa ni Mwanachama wa CCM.

Wa mwisho aliyevaa Kombati, Zubeir Zitto Kabwe (Msaliti) - Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo.
Katika akili za kawaida tu lazima ukubali kuwa Mbowe ni Clever ingawa hiyo haimaanishi kuwa ni Intelligent..maana alichokifanya kwa upinzani wa nchi hii dunia mzima itamkumba..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom