Taifa linaelekea kwenye Uchaguzi Jumapili ya mwezi wa kumi, siku hii kawaida ni siku ya ibada na tukio hili la Uchaguzi linafanyika mara moja ndani ya miaka 5.
Ombi langu ni makanisa yote kufanya ibada Jumamosi, ibada hii iongezwe na maombi zaidi kwa ajili ya kuombea Uchaguzi wa Jumapili, halafu Jumapili mturuhusu tukafanye haki yetu ya kuchagua viongozi.