TCRA mchukulieni hatua Balali wa Twitter

TCRA mchukulieni hatua Balali wa Twitter

ndiye mwenyewe.....maana nasikia hakufa
 
What if ni yeye kweli? na kama TISS wanajua ni yeye unadhani watamfanya nini?
 
na amekuwa akitweet siku nyingi,wala hata hafatiliwi,
 
ulienda kumzika bali ww? kuna ndugu yake alienda kumzika? mlionyeshwa picha za mazishi? kuna kiongozi wa kiserekali alienda msibani? watanzania sio wehu
 
Sasa si Balali kweli,kwani Balali kafa.Mbona mimi najua Balali yuko hai.Aache kuwasiliana na rafiki na ndugu zake.Wewe vipi?
Kwa kuwa hii sheria imeshaanza kutumika sioni sababu ya kumfumbia macho huyu Balali wa Twitter.

Tunajua Balali ameshakufa, sasa anachokifanya huyu wa Twitter ni upotoshaji na kama mtanyamaza basi nitaamini kuwa Daudi Balali yupo hai.

Fanyeni tracking zenu, huyu anahatarisha amani ya nchi.
 
ulienda kumzika bali ww? kuna ndugu yake alienda kumzika? mlionyeshwa picha za mazishi? kuna kiongozi wa kiserekali alienda msibani? watanzania sio wehu

Hata jeneza hatukuona, nyumbani kwake Dar hakukuwa na dalili ya mtu kuwepo kwa msiba nyumbani kwake mimi siamini kama alikufa huyu mtu
 
Sasa kama ni original au sio original we unahusika vipi,fanya kazi kijana twitter haitakupa chochote zaidi ya kuumizwa roho na BALALI
Katika mtandao wa tweeter kuna mtu anajiita daudi balali, mtu huyu amekuwa anatweet sana mambo mengi yanayohusu serikali, vyama/taasisi na watu binafsi. Amekuwa akitutukana watanzania sana...amekuwa akitoa kashfa nyingi zinazohusu taasisi hizi...hivi tiss na vyombo vya dola kwani hamjui? Fuatilieni kwa kutumia sheria hii mpya...achukuliwe hatua kisheria...sidhani kama ni balali original ijapokuwa anajifanya kuwa ndiye mwenyewe!!!
 
IMG-20150810-WA0002.jpg IMG-20150810-WA0000.jpg IMG-20150810-WA0001.jpg
 
Kwa kuwa hii sheria imeshaanza kutumika sioni sababu ya kumfumbia macho huyu Balali wa Twitter.

Tunajua Balali ameshakufa, sasa anachokifanya huyu wa Twitter ni upotoshaji na kama mtanyamaza basi nitaamini kuwa Daudi Balali yupo hai.

Fanyeni tracking zenu, huyu anahatarisha amani ya nchi.

Sasa mbona mgombea wa Chadema kasema atamrudisha Balali? Ina maana kadanganya umma?? Kama mkimwamini basi pia yupo Twitter
 
Balali wa Twitter probably yuko nje ya nchi. Unafikiri TCRA yako ina mamlaka nje ya mipaka ya Tanzania?
 
Ccm walisema balali kazikwa silverspring kwenye makaburi ya gate of heaven huko marekani. Lakini ukiingia kwenye database yao uki search kaburi lenye jina la balali hakuna jina lake. Tunajua balali yupo.
image_2024-12-08_234541812.png
 
Back
Top Bottom