Recent content by leunamme

  1. leunamme

    JamiiForums Tanzania Ndoa miaka 11 naomba ushauri

    Hapo hamna ndoa ndugu Uneshaambiwa hauwezi kuzaa naye ina maana jamaa kashamuendea kwa wataalamu Mwanamke kashakwambia hawezi kuacha kuongea na mzazi mwenzake inamaanisha kwamba jamaa anamla unayemuita mke wako Mshaanza kupigana chupa na kumwagana damu utakuja upigwe bisu la tumbo au uwekewe...
  2. leunamme

    JamiiForums Tanzania KWELI Kufanya mapenzi mwanamke akiwa juu ni hatari kwa afya ya uume wa mwanaume

    Ahsante kwa ushauri
  3. leunamme

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa Shoti ya Umeme. Nilichokiona Sitaki ufundi tena

    Oyaah aftatu inataka kukutoa roho[emoji23][emoji23]
  4. leunamme

    JamiiForums Tanzania Mbappe kanitekea demu wangu

    Sasa kila demu dp ya WhatsApp ni Mbappe
  5. leunamme

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupitia ngapi katika orodha hii?

    Mbona hujaweka category ya vibanda vya mama ntilie
  6. leunamme

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Unasukuma sh ngapi
  7. leunamme

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii story inaboa sana mwanzoni hasa aina ya lugha ya uandishi aliyoamua kutumia mwanzoni then mwishoni ndio inanoga maana ameandika kiswahili kilichonyooka
  8. leunamme

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta: Rais Samia, badili uongozi wa juu ili wananchi tupate ahuweni

    Kusema ukweli huku kwa ground mambo ni magumu sana kipande cha sabuni ni sh 800
  9. leunamme

    JamiiForums Tanzania Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

    Strike back imejaa maunyama sana 18+
  10. leunamme

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Unayumba mwanangu yaani umeshashika tackle ametulia halafu unaleta habari za kuelezea hisia wakati taa ya kijani imeshawaka ikikwambia endelea na unachokifanya
  11. leunamme

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Operationa Officer TPA

    Kamwe huwezi kusikia wala kuona mtu mwenye akili akiwabeza watu waliofeli kwenye makaratasi......ila hawa wenzangu wenye akili za kuokoteza ndo hufanya hivo. Huwezi kumkebehi mtu kwa hayo matokeo
  12. leunamme

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Pamoja mkuu
Back
Top Bottom