Matokeo ya Operationa Officer TPA

Matokeo ya Operationa Officer TPA

Mmefe
Dogo acha kutuzereu
Tumelaza miguu kwenye mabeseni ya maji kuisaka degree.

Haya matokeo ni setup ili kushort list.

Wangwturudishia hizo karatasi na majibu ndo ungejua hujui
Mmefeli kweli acheni utani sema sio kulaumiwa Yale maswali yalikuwa kwa watu wanaojua clearing and forwarding
 
Duu...hao waliopata zero inamaana walishindwa kabisa mtihani mzima? Bachelor Degree holders!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujaelewa hapa kitu, kuna watu wana Degree ambazo haziendani na kazi/nafasi walizoomba.

Mfano Degree ya Sociology analazimisha kubahatisha nafasi ya Port Operations😓😓😓

hao ndio maswali yanawala kichwa mazima😅😅😅

Hii nchi haina ajira za kutosheleza kila Idara.

Degree nyingine zingesimamishwa kusomewa kwa muda
 
Kutoka 50 inakuja 38! Hakuna 40. Na hizo ziro zote vipi yani. Uite watu 6000 u short list 50 tu! Wengine wametokea songea, Sumbawanga, Bukoba kujaribu bahati zao. Serikali iangalie namna nzuri ya kuwafanyia usaili hawa job seekers kwa kuwapunguzia gharama kidogo, la sivyo vijana wata under go beyond frustration.
Kwahiyo ulitaka wabebwe?
Au unataka kusema wamechakachua.
Ilitakiwa kwanza usikitike inakuwaje watu 3647 waliopata 50 kwenda juu ni 52.

Hiii I aonesha ni namna gani graduates wako incompetent
 
Utaratibu mzuri ungekua kuwagawanya candidates kwa kanda (zones) kulingana na kanda za mikoa.
Mfano, kungekua na vituo vya usahili Dar, Mtwara, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Kigoma, na Arusha. Kila candidate afanyie mkoa ambao ni karibu zaidi kwake. Hii ingesaidia sana kupunguza gharama za usafiri na malazi kwa watahiniwa. Hasa kwa usahili wa maelfu kama huu.
Hapo nafasi zingejazwa na ndugu
 
nina mshakaji wangu huu mwaka wa 7 anahudhuria paper za utumishi anafeli . Mungu mwema kapita hii ya OPERATION OFFICER.katika hao 50. na amesoma law. pia hana connection yoyote. naimani atapata nafasi.
Kapambana sana.Na background ya law kaweza kuchomoa pepa ambayo ilijaa mambo ya bandari A to Z... Itakua alikula sana nondo za freight and forwarding au aliwahi kupiga tempo bandarini. All the best kwake kwenye oral!!
 
Back
Top Bottom