Recent content by leme

  1. leme

    JamiiForums Tanzania Mchumba anatoa mashuzi mno!

    Kuna mke, hawara, na malaya...huyu aloleta uzi huu sijui atakuwa yupi kati ya hao
  2. leme

    JamiiForums Tanzania Gari ipi kati ya hizi inafaa kwa maisha ya Tanzania

    Kitu hyundai sonata...mkorea hakukosea
  3. leme

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

    Alikuwa anapiga miguu yote kama Ronaldo, tahamaki hajui baba wa mtoto ni nani..mshkaj akasepa mwingine kaamua kubaki
  4. leme

    JamiiForums Tanzania Mkitaka kudumu mahusianoni msigombane sana Wala msielewane sana

    She is mother of 2..mbona madem wakali kibao..utakuwa umefilisika unatafuta slope
  5. leme

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ya yaliyonipata sioni hamu tena ya kumtumikia Mungu

    Hekima ya mwanadam s sawa na hekima ya Mungu..hata Yesu walimjudge kuwa anastahili msalaba alotundikwa...hakuna mafanikio bila mapito
  6. leme

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    In my opinion, the interview increditably credited JPM
  7. leme

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka wanajeshi Gabon ikihofia machafuko Congo

    Kasema kunapotokea wasiwasi wa machafuko na sio machafuko..
  8. leme

    JamiiForums Tanzania Neno la Hekima

    Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe....
  9. leme

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipiga vijembe sana WhatsApp status

    Hahahaaaaaaa
  10. leme

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hawafanyi kazi za ndani ya nyumba?

    Du... ibada ya mwaka mpya kanisani wamefundisha kuwa adui yako ni yule aliekaribu na wewe,, anakuchekea na kukumbatia akigeuka anakupiga kwa mateso na kukunanga kwenye mitandao. Nimependa comment ya mchangiaji mmoja humu, ninaweza kuish kwa amani na mtu mwenye tabia yeyote,, cha msing ni kuwa...
  11. leme

    JamiiForums Tanzania Lodge maeneo ya Msasani

    Imefika mahali mwanaume ndani unaacha kuongea nae chochote,,,maana chochote utakachoongea anakipindua na kwenda kukukebehi kwenye mitandao kama sio kukutukana..takataka kama hii mwanaume anaejitambua hawez weka ndani,,,atapiga na kusepa, ni mm tu ndo nilikosea
  12. leme

    JamiiForums Tanzania Lodge maeneo ya Msasani

    Huyu ndo mwanamke watu wanaemwona wa maana,, kichwa kimejaa nzi badala ya ubongo,,tena wale wa bluu
  13. leme

    JamiiForums Tanzania Lodge maeneo ya Msasani

    Yuko FMB kigoma,, na ndo aloanzisha huu Uzi eti kumstress mumewe,,,actually ndo kawaida yake kumuanika mumewe...
  14. leme

    JamiiForums Tanzania Tatizo la inzi kunifuata kila sehemu, maana yake ninini?

    Do you cal yourself a christian?..Do u look at things in a christian way?...NO?,,, u will never be free...u will always join the table of destructed and hurtful world...God have mercy
Back
Top Bottom