Marekani yapeleka wanajeshi Gabon ikihofia machafuko Congo

Marekani yapeleka wanajeshi Gabon ikihofia machafuko Congo

Duniani kote kunapotokea wasiwasi katika nchi ningine kinachofanyika ni kuondoa raia wake na siyo kupeleka jeshi, usitake kutudanganya

Unaondoaje raia wako mahali penye machafuko au risasi zinapolindima bila kupeleka wajeda?? Genocide ya Rwanda Ufaransa alituma jeshi kuokoa raia wake, na ni kawaida ya nchi zote zilizoendelea..
 
Duniani kote kunapotokea wasiwasi katika nchi ningine kinachofanyika ni kuondoa raia wake na siyo kupeleka jeshi, usitake kutudanganya
Endapo hayo machafuko yakitokea, hao raia wa USA watarudi vipi ikiwa nchi ipo kwenye machafuko na shughuli zimesimama? Hao wanajeshi wapo Gabon kama tahadhari, wataingia Congo endapo tu kuna machafuko. Kwenye machafuko njia salana zaidi ya kuwasafirisha hao raia ni njia za kijeshi na sio za kiraia.
 
Ukweli waweza kuwa huu
===

The deployment of the 80 heavily armed US troops to Gabon 5 days before the military coup attempt more than likely is due to prior knowledge of the upcoming situation, rather than out of security concern regarding DRC.
 
Congo kuna kila dalili ya machafuko hasa pale matokeo yakitangazwa.
Kanisa katoliki linaonekana wazi lipo kinyume na serikali na kwa ushawishi wake linaweza kuchochea machafuko iwapo wamtakaye hatashinda.
Kama una mahindi kaa mguu sawa there is a great tantalizing deal.
Rekebisha hapo, sio wamtakaye RC bali wamtakaye wanachi iwapo hatotangazwa mshindi
 
Rekebisha hapo, sio wamtakaye RC bali wamtakaye wanachi iwapo hatotangazwa mshindi
Wananchi wamegawanyika wapo wanaotaka mgombea wa chama tawala na wapo wanaotaka wa upinzani.
Narudia tena rc asipochaguliwa wamtakaye kuna hatari ya kuimiza machafuko.
 
Unaondoaje raia wako mahali penye machafuko au risasi zinapolindima bila kupeleka wajeda?? Genocide ya Rwanda Ufaransa alituma jeshi kuokoa raia wake, na ni kawaida ya nchi zote zilizoendelea..

Kasema kunapotokea wasiwasi wa machafuko na sio machafuko..
 
Back
Top Bottom