Recent content by Lemaasai

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lowassa ni Kweli Fedha zako Nimekula Lakini Naomba Unisamehe

    Membe pia kamwaga pesa Zanzibar
  2. L

    JamiiForums Tanzania CUF Zanzibar for Lowassa President.

    Taarifa iliyovuja toka Top Cuf Officers! Wanamwombea Rais wa Muungano awe Lowassa na si mwingine.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    Inayoa kwa ng'ombe ngapi ya musasi?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    Hii sichana anapendesa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mutharika: Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi

    Naam! Ziwa lote ni la Tanzania, na sasa Malawi wahame kandokando ya Ziwa letu, isipokuwa sehemu ya Msumbiji (nchi ndugu wa damu)wao sehemu yao ni yao. Malawi wahame ziwani kote.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Serikali: Shy-Rose hakupigana Kenya

    Tumtazame kwa umakini Shujaa huyu Shai Rose, isije kuwa ana ushujaa unaowatisha maadui wa Utanzaniauliotukuka kizalendo zaidi. Tumsapoti hadi pale tutakapo dhibitisha kuwa ana kosa.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Record za utendaji wa Edward Lowassa zinashangaza sana

    Twelve : Ndii kiongozi pekee East Africa anaeabudiwa na viongozi wa Kenya, kwa kuwa ndie Mfalme wa Wamasai wote Duniani, basi ukitaka uwaone mawazi wa Kenya wakija kuhiji kwake na kupokea maelekezo na muongozo, karibu ni Munduli.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Former RDF boss Rusagara arrested over 'link' to exiled opposition

    Watutsi ni ndugu zetu, tupunguze kuwachukia.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maandamano Arusha 20/9/2014 Kutumika njia 6 tofauti

    Arusha mji wa Wajinga
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kumi muhimu usiyoyajua kuhusu mmiliki wa facebook, Mark Zuckerberg!

    Hongera, aje tumpe Ulaigwenani
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Aman Karume akutana na Ujumbe wa Seif Sharifu ktk juhudi za kuidai Z'bar Huru

    CCM yenyewe inayo siri yote
  12. L

    JamiiForums Tanzania Live TBC: Hotuba ya rais Kikwete siku ya Mei Mosi kwa Taifa

    Mchagga akijuwa Mmasai yupo lazima ataogopa tu, na daima hata Mmasai afanye jambo jema vipi Mchagga haungi mkono, alipofariki Sokoine Wachagga na Wapare walifanya siku kuu kubwa na Miaka miwili tu baadae walianza kumshawishi Msuya na Mwinyi wawahamishe wamasai Mkoani Kilimanjaro, ndio eneo lao...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nyerere na Karume walikagua gwaride kwa pamoja wakati wa sherehe za Muungano

    Baada ya Jaribio la Mapinduzi au Uhaini la Rais Aboud Jumbe wa Zanzibar ambae cheo chake cha kwanza kilikuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, baada ya uhaini katiba ilibadilishwa. Sasa Makamu wa Rais wa Tanzania atakuwa huku huku Daressalaam na atoke upande wa pili wa Muungano. Rais wa Visiwa amebaki...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ubalozi Tanzania Italy Sherehe za Muungano wa Tanzania

    Balozi wa Tanzania Italy na nchi jirani juzi kwa ushirikiano na Jumuiya ya Watanzania Roma waliwaalika Watanzania kuja kusheherekea kwa furaha miaka 50 ya Jamhuri ya Muungano. Ilikuwa raha sana kuona wachangiaji wote walivyokuwa na uzalendo wa hali ya juu, pia hotuba ya balozi Dr Msekela ilijaa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania bara - zanzibar kumiliki ardhi

    naona wamasai kuwepo zanzibar unaumia sana, kwa hiyo wewe asili ya jamii yako ni uandishi tu katika jamiiforum? hawakujishughulisha na uvuvi au kilimo wala uwindaji? nyinyi na kabila lako mlikuwa wataalam wa IT tangu enzi za binamu.
Back
Top Bottom