PK mwenyewe ni mamluki namba 1Hii ni shida. Ukiona hivyo, mamruki humo ndani ya nchi yake watakuwa ni wengi.
PK mwenyewe ni mamluki namba 1Hii ni shida. Ukiona hivyo, mamruki humo ndani ya nchi yake watakuwa ni wengi.
Wamuonee wivu kwa kipi cha maana alichonacho?? Hakuna resources wafuate nini kigali?
Mkuu MUKAMASIMBA yapo mambo mengi yanayochangia PK kuhangaika sana la kwanza ni uhusiano wake na Tanzania uko katika hali tete anajua position ya Tanzania inaweza kuamua hatima yake.
Pili ukiangalia Generals wote aliogombana nao wememzidi shule sana hawataki kuburuzwa kama watoto wadogo wanapenda Rwanda huru yenye uhakika wa upatikanaji wa haki (mahakama huru)wanapenda kuona Rwanda ikongozwa kwa kuheshimu misingi ya katiba tofauti na kinachoendelea Rwanda sasa kila kitu ni Kagame ukikwaruzana naye utapachikiwa kesi ya kuhatarisha amani ya Rwanda na kwa hakika lazima utafungwa kwasababu mahakama si huru.
Tatu tumeona nchi zote za EA wakuu wa nchi wakitofautiana na wakuu wa upinzani na wakabaki salama hali ni tofauti huko Rwanda.Ukiangalia Uganda yupo Col Kiza Bisegye wamesuguana sana na Gen Museveni hadi akakimbia nchi lakini leo yupo Uganda salama.Ukienda Kenya Raila anaipeleka puta serekali ya Uhuru Kenyatta sijasikia kawekwa ndani au kuzuiliwa nyumbani kwake au kanyimwa kuongea na wanahabari.Ukija hapa Tanzania ndio usiseme kabisa Mtikila aliwahi kumtyukana Rais Kikwete ni gaidi kesi imekwenda mahakamani Mtikila kashinda na hii si mara ya kwanza au pili hii inatokea kila mara.Wapo wapinzani wengi sana wanaisumbua serekali ya CCM wapo salama.
watu humu jamvini wananishangaza,elewa wakati wowote ukiwa na upinzani nje ya nchi yako inabidi kuelewa kwamba lazima watakua na wafuasi wao ndani,sasa kukamatwa kwa watu ni dhihirisha kwamba intelligensia imekaa vizuri na inafanya kazi yake na kumbuka rwanda kwa sasa ina maadui hasa nchi za magharibi na baadhi ya nchi za kiafrika wanaotaka kuona uongozi uliopo unaondoka,sasa acheni pk afanye kazi yake na watachomolewa mpaka wataisha,natoa pole kwa maadui wa rwanda kwani hawatafikia lengo lao kamwe,na pk haja lala pamoja na wanyarwanda wapenda nchi yao,watu wangapi wanakamatwa tanzania? mbona sijasikia kulalamika kwenu?wahalifu wanakamatwa rwanda maneno yana wabubujika sana utafikiri mnahuruma kwa wanyarwanda!please...acheni wanyarwanda wafanye kazi yao na nyiyi pambaneni na CCM iliyo washinda kuiondoa madarakani.
Du hii kali eti magharibi ana chuki.,wakati juzi amiri jeshi wenu mkuu alikuwa huko magharibi na bintiye.Waliokuwa na chuki na magharibi hawakwenda huko kama Comrade Mugabe,Bashir.watu humu jamvini wananishangaza,elewa wakati wowote ukiwa na upinzani nje ya nchi yako inabidi kuelewa kwamba lazima watakua na wafuasi wao ndani,sasa kukamatwa kwa watu ni dhihirisha kwamba intelligensia imekaa vizuri na inafanya kazi yake na kumbuka rwanda kwa sasa ina maadui hasa nchi za magharibi na baadhi ya nchi za kiafrika wanaotaka kuona uongozi uliopo unaondoka,sasa acheni pk afanye kazi yake na watachomolewa mpaka wataisha,natoa pole kwa maadui wa rwanda kwani hawatafikia lengo lao kamwe,na pk haja lala pamoja na wanyarwanda wapenda nchi yao,watu wangapi wanakamatwa tanzania? mbona sijasikia kulalamika kwenu?wahalifu wanakamatwa rwanda maneno yana wabubujika sana utafikiri mnahuruma kwa wanyarwanda!please...acheni wanyarwanda wafanye kazi yao na nyiyi pambaneni na CCM iliyo washinda kuiondoa madarakani.
Watutsi ni ndugu zetu, tupunguze kuwachukia.
na wahutu je?
Nyie ni wauaji, mbona hau comment kwenye hizo picha unazowekewa.. au inakutonesha kidonda?
Sidhani kama ni sahihi kusema Rwanda haipigi hatua. Rwanda inapiga hatua. Tatizo ni kuwa baadhi ya watu wanaona kuwa Rwanda ni Kagame na Kagame ni Rwanda, na wengine wanadhahi kuwa Kagame ataishi maisha. Kuna wakati PK ni kiongozi mzuri sana lakini wakati mwingine anafanya mambo ya hatari sana.
Kwa sasa naona anaimarisha ukabila kwa nguvu kuliko wakati wowote. First he systematically targeted Hutus, in order to gain support and respect among all tutsis, after he managed that he turned to targeting tutsis, some of them atleast.
He killed three presidents he got away with it, threaten Ugandan one, and he thought threatening ours would make life easier for him. All of a sudden amekuwa mtu anayejua kila kitu na wengine wote hawajui lolote. Sasa pole pole maisha yake kisiasa yanakuwa magumu kutonana na michezo yake.
CC: Murutongore, Jmali, Ngongo, Mukamasima
Bongolander, niliwahi kumuuliza jMali hili swali lakini hajanijibu naomba umsaidie, tuhuma zoooote ambazo unajua au umesoma hapa dhidi ya kagame, na ni nyingi ina maaana Kagame a president of a small country "with no resources" ana influence kubwa kiasi cha Mmarekani, Muingereza (hapa nasema nchi) ana tailor foreign policy zake to suite one country. RWANDA. Kama unakubaliana na hilo then swali langu ni hili.
IS KAGAME THE MOST POWERFUL PRESIDENT?
Kagame is the weakest president in Africa, not strongest. His weakness lies in targeting and threatening the weak. Unajua kagame ana kile anachokitafuta, kwa hiyo anatumia njia nzuri na mbaya kupata anachotoka. Waingereza na wamarekani wanataka kuona mtu anayeletea maendeleo na utulivi wananchi wake, nadhani tunaweza kukubaliana kuwa PK analeta hovyo viwili Rwanda. Kwa hiyo amewapa wanachotaka.
Lakini tatizo ni kile anachokifanya ili kukaa madarakani.
Murutongore sipendi useme mengi, lakini naomba tu jaribu kufikiria Rwanda after Kagame. Huo ndio wasiwasi mkubwa nilio nao. ningefurahi kama ungeuliza is Rwanda strongest country in Africa? hilo ndio linatakiwa kuwa swali. Ningependa hilo ndio liwe issue. People of Rwanda will always be there after PK. Hapo ndio litakuwa tatizo la kuidefine nchi na mtu, akiondoka mtu nchi yote inasambaratika.
We will cross the bridge when we get there. Only that there are some people kama akina jMali ambao nia yao ni tusifike hata kwenye hilo daraja. They want to instill fear in Tanzanians so that they can then embrace the interahamwes who are being kicked out of DRC to move here so that they can succeed in destabilizing Rwanda. Why do you think kila siku hao interahamwe wanakuja huko Tanzania? "To drink tea? "to quote Mwalimu...NO wana agenda yao ambayo bila kuwa makini Tanzania itaanza kutumia kama base yao. We have to fight the people like jMali who want to use the media to fan hatred against Rwandans. Hilo tutalifanya until the day we die.
Nyie ni wauaji, mbona hau comment kwenye hizo picha unazowekewa.. au inakutonesha kidonda?
tufanye mimi mhutu, are you saying more than 80% of Rwandese are killers then?
1. mmeshaamua kagame aendelee post 2017 kwa nini unazuga zuga kwa "madaraja"?
2. kagame na jeshi lake mnadai aliwapiga interahamwe in 3 months, akawafuata DRC twice, ...ina maana hao interahamwe wana uwezo mkubwa sana ee? how can they fight the "mighty" RDF twice in DRC na bado wakaendelea ku-exist even today? Halafu interahamwe si ndio wale wenye mapanga tu?
3. Hao interahamwe uliowaona Tanzania ni nani?
4. Katika orodha yako ya watu utakao-"fight" nao ongezea the BBC, maana wamerudia yote ambayo nimesema hapa JF!
1. mmeshaamua kagame aendelee post 2017 kwa nini unazuga zuga kwa "madaraja"?
2. kagame na jeshi lake mnadai aliwapiga interahamwe in 3 months, akawafuata DRC twice, ...ina maana hao interahamwe wana uwezo mkubwa sana ee? how can they fight the "mighty" RDF twice in DRC na bado wakaendelea ku-exist even today? Halafu interahamwe si ndio wale wenye mapanga tu?
3. Hao interahamwe uliowaona Tanzania ni nani?
4. Katika orodha yako ya watu utakao-"fight" nao ongezea the BBC, maana wamerudia yote ambayo nimesema hapa JF!