Record za utendaji wa Edward Lowassa zinashangaza sana

Edward Lowassa ndio waziri mkuu aliewai kukaa katika kiti cha uwaziri mkuu kwa muda mfupi zaidi kuliko waziri mkuu yeyote yule; sasa angalia hii record yake ya kushangaza!!!!

One,
Ndani ya muda mfupi sana alionyesha nia ya dhati kukabiliana na foleni ya jiji la dsm; ambalo kimsingi ni kama jinamizi kwa sasa!!!!

Two,
Ndani ya muda mfupi sana alionyesha kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana. Pale Bandarini kulikuwa na watu waliokuwa vibarua kwa muda wa zaidi ya miaka 15 lakini alipoingia uwaziri mkuu, ile hali kaisimamia jamaa wale wakapa mkataba wa kudumu!

Three,
Ndani ya muda mfupi alionyesha kujali elimu kwa wananchi. Hizi shule za kata ambazo ndizo zinazosaidia wananchi kuamka kwa sasa ni matunda ya Lowassa!

Four,
Tatizo la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Akiwa bungeni mara nyingi amekuwa akiongelea suala hili la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kiasi kwamba ilibaki kidogo tu ingekuwa malalamiko ya mikopo kwa wanafunzi ingekuwa historia

Five,
Wakati akiwa waziri mkuu, kwa muda mfupi sana ilionekana kuwa uchumi sasa utapaa; na tayari kulikuwa na indicators za kutosha kuashiria hilo

Six,
Kwa muda mfupi sana utendaji serikalini ulikuwa unaenda kwa kasi ya ajabu. Kuanzia mdogo hadi mkubwa!

Seven,
Kwa muda aliokaa hajawahi hata mara moja kutoa kauli tata za kuashiria ubabe kwa wale wanaopingana naye. Kauli zake siku zote zimekuwa very straight kuwakabili watumishi wazembe na watendaji wanaotenda kazi katika mfumo wa business as usual!

Eight,
Ndio kiongozi pekee serikalini ambae ana record ya kutoa individual support kwa mwananchi mmoja mmoja pale atakapobaini kuwa panahitajika support kwa ajili ya huyo mwananchi. Hata bbc swahili walishawahi kuripoti kuhusu hili!

Nine,
Akiwa waziri mkuu alimbeba sana Kikwete kwenye utendaji wa kiserikali! Hadi sasa Kikwete amekata tamaa kabisa na mambo ya serikali. Anatamani siku anarudi toka maryland akute tayari 2015 imefika maana hana hamu kabisa na mwenendo wa mambo ndani ta taifa hili!

Ten,
Kikwete hatakaa amsahau kwa kumpoteza katika utendaji wa serikali yake. Na ndo maana uchaguzi wa 2010 Kikwete alipata shida sana! Na hadi leo anamlilia sana, ila mfumo wa chama chake unamgandamuiza sana!

etc,

HAYA SASA!!!!
Kuna waliokaa kwa muda waliokaa waliishia kuwaambia wafanyabiashara ukitaka mambo yako yawe mazuri jiunge na ccm!!!

Kuna waliokaa kwa kipindi walichokaa lakini kwa muda mfupi sana walionekana mara kidume kinalia bungeni, mara katoa kauli tata za kuwatisha wapinzani; eti wapigwe tu. Uwapige wapinzani ili iweje???? Hii nchi ya kwako peke yako????

Ahsanteni wakuu!!!

Unajua watu wezi wana namna ya ku mimic ili ubaya wao usionekane, ni kweli EL alitenda hayo ila kama kiongozi wa nafasi hiyo ulitaka afanyeje! Kwenye performance management Lowasa aliperform as required but he didnt exceed targets. Sasa cha kupongeza ni nini! Ange exceeds performance angeweza kupambana na ufisadi ambao unaligharimu taifa hili lakini kwa hilo yuko kimya. Nikuulize swali, wewe kama baba wa familia, watoto wako na mkeo wakila, wakisoma na kuvaa vizuri umewafanyia favour au ndo haki za msingi kwa familia yako? Ukijibu hili swali utaona Lowasa hana cha kusifiwa zaidi ya kulaumia kuliingiza taifa kwenye garama kubwa za umeme na mengine mengi
 
Nami hapo kwenye red, nashangaa sana mtu anaposifiwa kafanya kitu fulani wakati ni wajibu wake. Ni sawa na kusifia wazazi eti wanamlea mtoto wao vizuri. Ni upuuzi.
 
Usitaje mazuri tu taja na mapungufu yake sisi tumjadili. Wakati alipokuwa wizara ya ardhi, maji nk.

kweli kabisa mkuu jamaa akiwa waziri wamaji kuna mambo yalitokea ya baadhi ya vijiji kihamishwa kupisha hifadhi ya maji ikiwemo bonde la makutupora na dhulma kubwa ilifanywa ktk malipo....nikifikiria hapo tu ndo nakosa imani na jamaa
 
Pamoja na hayo, japo mengine ni ya kawaida kilingana na cheo chake, ila wawez kujiuliza mbona wenzake hawakuweza kufanya?
Kikubwa ninachomkubali Lowasa ni ile kaliba ya ufuatiliaje, ila hali ya kufanya watendaji wa ngazi zote kuwa alert kuwa kuna mtu juu, siku akibaini uzembe wangu nitakuwa fired could be on the sport. hii ndiyo inayomiss kwa JK.
Kwa vile watendaji watakuwa na sikio, then utekelezaji wa majukumu utakuwepo hivyo tutasonga mbele.
tulipo sasa tunahitaji rais mwenye ka u dictator fulani hivi ili watu wafanye kazi.

Namkubali na ninam support Lowasa ajitokeze kwa kujiamini wa Tanzania tulio wengi tunamuona, or else wengine hawaonekani kivileee!

For UKAWA, my presential candidate Material, at the momemnt is sick! but i hope he will rise up and stand before Tanzanians and we all be there! That is Mr. Zitto
 
Tutafungua macho na masikio yetu kusikia na kuona yanayokuja mbele yetu tuombe uzima tuone kama hatutalalama tena
 
Pamoja na hayo, japo mengine ni ya kawaida kilingana na cheo chake, ila wawez kujiuliza mbona wenzake hawakuweza kufanya?
Kikubwa ninachomkubali Lowasa ni ile kaliba ya ufuatiliaje, ila hali ya kufanya watendaji wa ngazi zote kuwa alert kuwa kuna mtu juu, siku akibaini uzembe wangu nitakuwa fired could be on the sport. hii ndiyo inayomiss kwa JK.
Kwa vile watendaji watakuwa na sikio, then utekelezaji wa majukumu utakuwepo hivyo tutasonga mbele.
tulipo sasa tunahitaji rais mwenye ka u dictator fulani hivi ili watu wafanye kazi.

Namkubali na ninam support Lowasa ajitokeze kwa kujiamini wa Tanzania tulio wengi tunamuona, or else wengine hawaonekani kivileee!

For UKAWA, my presential candidate Material, at the momemnt is sick! but i hope he will rise up and stand before Tanzanians and we all be there! That is Mr. Zitto

Hapo kwa UKAWA haikosi unaumwa kaugonjwa kale kakichwani hatuhitaji mnafiki tena katika uongozi mtu aliyejivisha rangi mbili anayecheka kumbe anatamani kukurarua. Tunahitaji mtu anayetamka moja ni moja kweli na siyo mbili..
 
Twenty: Akiwa kama waziri mkuu alihakikisha kampuni fake la RICHMOND halipati mkataba wa kuzalisha umeme ili kuepuka hasara ya milioni 135 ambazo Richmond wangelipwa kila siku
 
Nipe Record ya LOWASA kukemea ufisadi ambao mpaka sasa tunakosa pesa kutoka kwa wahisani. Ukinipa huo ushahidi, mimi nakuwa team Lowasa
 
Mimi namkumbuka Lowasa kwa kugawa mamilioni ya fedha kujenga makanisa. Sijui alizipata wapi maana hata Nyerere alishangaa utajiri wa huyu jamaa
 
Usitaje mazuri tu taja na mapungufu yake sisi tumjadili. Wakati alipokuwa wizara ya ardhi, maji nk.

Hakuna kinachoweza kukumbukwa ktk utumishi wake kabla ya richmond na kujiuzulu
 
Anaujua uongozi gani? Kinachoongoza nchi ni mfumo wala si mtu binafsi.

Hoja zako hazipimiki na hata kama zingekuwa ni za kweli hazina uhusiano wa moja kwa moja na lowasa.

Kiongozi mzuri, anaonekana kila mahala anapokuwa, siyo mpaka awe raisi wa nchi.

Kiongozi mzuri ni yule anayewapenda watu anaowangoza na muda wote kutamani awaongoze wafikie malengo.

Lowasa amefanya nini kinachombainisha kwamba ni kiongozi safi japo si waziri mkuu wala raisi?

1 Wakati akiwa waziri mkuu, kwa muda mfupi tu aliliingiza taifa kwenye mikataba ya richmond ya kifisadi ambayo hata kujikuzuru alishauriwa na kikwete swaiba wake ili aendelee kupata marupurupu ya ki PM mstaafu ambayo kama angefukuzwa angeyakosa.

2. Lowasa hadi leo akiulizwa utajiri wake, hayuko tayari kusema, utajiri ambao kaupata akiwa kiongozi wa serikali. Huyu nikiongozi mzuri?

3. Lowasa ambaye hadi leo ameshindwa kutamka mmiliki wa Richmond ni nani, ufisadi alioshiriki moja kwa moja. Huyu nikiongozi mzuri?

4. Lowasa ambaye hadi leo anatumia nguvu ya rushwa kununua watu wam support kwenye nia zake. Eti awe raisi kwa nguvu ya rushwa. Huyu ni kiongozi wa nani asiyejali hali na anayeishi kwa nguvu ya rushwa?

5. Sasa hivi ufisadi na rushwa vimekithiri hapa Tanzania, ni tabu, huyo lowasa wenu siku zote yuko kwenye media na makusanyiko ya watu akifanya unafiki wake wa kujipendekeza. Ni lini alitoa tamko la kulaani rushw ana ufisadi ambavyo ndiyo matatizo makubwa sana ya kitaifa??? Huyu ni kiongozi?

6. Uko wizi wa kutisha unaofanywa na viongozi wa ccm kupitia nafasi za serikali. (Mfano Richmond, EPA, IPTL n.k) Lowasa kama anauchungu na nchi hii, kwa nini amekaa kimya hata siku moja haonyeshi kuguswa na uharamia huu? Huyu ni kiongozi???

7. Sasa hivi wa Tanzania tunakufa mahospitali kwa kukosa dawa kutokana na wizi na utawala mbovu. Wapo watu ccm pamoja na chama chao kuwa ndiyo wezi na chanzo cha matatizo, lakini wanaonyesha uchungu kwa yanayowasibu walipa kodi. Lowasa wenu ametoa tamk gani kama kweli anakerwa na tabu za nchi??

7. Kuna mgogoro mkubwa sana unaendelea juu ya katiba lazimishwa ya ccm. Na hii imetokana kwa kuwa nchi haina raisi inajiendesha kama shamba la wanyama pori. Kama ni kweli anauchungu na nchi hii, kwa niini haonyehi hata nia ya kuweka mambo sawa akijua taifa hili si la ccm ni la watanzania wote. Huyu binadamu anauchngu na ccm ama watanzania wote bila kubagua? Anatofautiana nini na kikwete aliyetumbukiza taifa letu kwenye majanga ya kutisha??

8. Akiwa mjumbe wa BMK , alishuhudia vile BMK ilivyogeuzwa na kuwa kamati kuu ya ccm. Kutupwa kwa maoni ya watanzania, uandishi w ahila wa kuwanyang'anya haki zao kwa mlango mwingine; kugushiwa kwa kura za kupitisha rasimu. Kama kweli yeye ni gentleman. Na ana mapenzi makuu kwa nchi si kwa ccm. Ni nini alifanya cha kuonyesha kuelewa kilichoendelea pale BMK, akasimama kwa maslahi ya taifa, zaidi ya kushiriki kukamilisha udharimu huo? Huyu ni kiongozi safi wa nchi??

9. Lowasa amekuwa mnafiki, akifurahia migawanyiko ndani ya ccm, na kununu makundi hasimu yamuunge mkono kwenye uraisi, akishiriki uharibifu na kujipendekeza kwa watu mbali mbali kwa lengo la kutaka uraisi.

10. Kama anajali elimu, ni tamko gani alilolisema pale alipoona chama chake kinatoa amri ya kuongeza madaraja na kugushi alama za ufaulu ili taifa lisiabike??? Huko ndiko kukua kwa elimu??? Au hayo majengo yaliyojengea na watanchi ya shule za kata, ndiko lowasa kakuza elimu?? Huo si wendawazimu??? elimu inakuwa kwa kuwwaamrisha watanzania wajenge majengo bila kufahamu namna gani majengo hayo yatatumika kuboresha elimu?

Pamoja na kushindwa kwake kutetea maslahi ya taifa, wizi wake na mikataba fake, ushiriki wake wa moja kwa moja katika hujuma kwa watanzania, kufurahia na kunyamazia maovu, kutumia fedha zake kwa rushwa ili awe raisi na ufisadi wake pamoja na mengi mengineyo, hili jamaa ni jitu la visasi na ukimya wake ni kuficha makucha.

LOWASA HATAKUJA KUWA RAISI WA NCHI YOYOTE DUNIANI HADI ANAZIKWA. HILO ASAHAU. TUNAMPANGO WA KUMFIKISHA MAHAKAMANI KWA WIZI NA UHUJUMU UCHIMI.

MWEHU YULE.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.jamaa anajua uongozi sio mchezo
 
UTAJIRI AMBAO KAUPATA AKIWA MTUMISHI WA SERIKALI NA HAYUKO TAYARI KUUELEZEA HATA MKIMFUNGA KITANZI SHINGONI. Makanisa anagawa fedha kwa unafiki ili wamuunge mkono kwenye uraisi. huyu jamaa ni nyoka mwenye sumu kali!.

Mimi namkumbuka Lowasa kwa kugawa mamilioni ya fedha kujenga makanisa. Sijui alizipata wapi maana hata Nyerere alishangaa utajiri wa huyu jamaa
 
Salm,wakioba na malechela walikaa muda gani!!na walifanya nini??
 
Anaujua uongozi gani? Kinachoongoza nchi ni mfumo wala si mtu binafsi.

Hoja zako hazipimiki na hata kama zingekuwa ni za kweli hazina uhusiano wa moja kwa moja na lowasa.

Kiongozi mzuri, anaonekana kila mahala anapokuwa, siyo mpaka awe raisi wa nchi.

Kiongozi mzuri ni yule anayewapenda watu anaowangoza na muda wote kutamani awaongoze wafikie malengo.

Lowasa amefanya nini kinachombainisha kwamba ni kiongozi safi japo si waziri mkuu wala raisi?

1 Wakati akiwa waziri mkuu, kwa muda mfupi tu aliliingiza taifa kwenye mikataba ya richmond ya kifisadi ambayo hata kujikuzuru alishauriwa na kikwete swaiba wake ili aendelee kupata marupurupu ya ki PM mstaafu ambayo kama angefukuzwa angeyakosa.

2. Lowasa hadi leo akiulizwa utajiri wake, hayuko tayari kusema, utajiri ambao kaupata akiwa kiongozi wa serikali. Huyu nikiongozi mzuri?

3. Lowasa ambaye hadi leo ameshindwa kutamka mmiliki wa Richmond ni nani, ufisadi alioshiriki moja kwa moja. Huyu nikiongozi mzuri?

4. Lowasa ambaye hadi leo anatumia nguvu ya rushwa kununua watu wam support kwenye nia zake. Eti awe raisi kwa nguvu ya rushwa. Huyu ni kiongozi wa nani asiyejali hali na anayeishi kwa nguvu ya rushwa?

5. Sasa hivi ufisadi na rushwa vimekithiri hapa Tanzania, ni tabu, huyo lowasa wenu siku zote yuko kwenye media na makusanyiko ya watu akifanya unafiki wake wa kujipendekeza. Ni lini alitoa tamko la kulaani rushw ana ufisadi ambavyo ndiyo matatizo makubwa sana ya kitaifa??? Huyu ni kiongozi?

6. Uko wizi wa kutisha unaofanywa na viongozi wa ccm kupitia nafasi za serikali. (Mfano Richmond, EPA, IPTL n.k) Lowasa kama anauchungu na nchi hii, kwa nini amekaa kimya hata siku moja haonyeshi kuguswa na uharamia huu? Huyu ni kiongozi???

7. Sasa hivi wa Tanzania tunakufa mahospitali kwa kukosa dawa kutokana na wizi na utawala mbovu. Wapo watu ccm pamoja na chama chao kuwa ndiyo wezi na chanzo cha matatizo, lakini wanaonyesha uchungu kwa yanayowasibu walipa kodi. Lowasa wenu ametoa tamk gani kama kweli anakerwa na tabu za nchi??

7. Kuna mgogoro mkubwa sana unaendelea juu ya katiba lazimishwa ya ccm. Na hii imetokana kwa kuwa nchi haina raisi inajiendesha kama shamba la wanyama pori. Kama ni kweli anauchungu na nchi hii, kwa niini haonyehi hata nia ya kuweka mambo sawa akijua taifa hili si la ccm ni la watanzania wote. Huyu binadamu anauchngu na ccm ama watanzania wote bila kubagua? Anatofautiana nini na kikwete aliyetumbukiza taifa letu kwenye majanga ya kutisha??

8. Akiwa mjumbe wa BMK , alishuhudia vile BMK ilivyogeuzwa na kuwa kamati kuu ya ccm. Kutupwa kwa maoni ya watanzania, uandishi w ahila wa kuwanyang'anya haki zao kwa mlango mwingine; kugushiwa kwa kura za kupitisha rasimu. Kama kweli yeye ni gentleman. Na ana mapenzi makuu kwa nchi si kwa ccm. Ni nini alifanya cha kuonyesha kuelewa kilichoendelea pale BMK, akasimama kwa maslahi ya taifa, zaidi ya kushiriki kukamilisha udharimu huo? Huyu ni kiongozi safi wa nchi??

9. Lowasa amekuwa mnafiki, akifurahia migawanyiko ndani ya ccm, na kununu makundi hasimu yamuunge mkono kwenye uraisi, akishiriki uharibifu na kujipendekeza kwa watu mbali mbali kwa lengo la kutaka uraisi.

10. Kama anajali elimu, ni tamko gani alilolisema pale alipoona chama chake kinatoa amri ya kuongeza madaraja na kugushi alama za ufaulu ili taifa lisiabike??? Huko ndiko kukua kwa elimu??? Au hayo majengo yaliyojengea na watanchi ya shule za kata, ndiko lowasa kakuza elimu?? Huo si wendawazimu??? elimu inakuwa kwa kuwwaamrisha watanzania wajenge majengo bila kufahamu namna gani majengo hayo yatatumika kuboresha elimu?

Pamoja na kushindwa kwake kutetea maslahi ya taifa, wizi wake na mikataba fake, ushiriki wake wa moja kwa moja katika hujuma kwa watanzania, kufurahia na kunyamazia maovu, kutumia fedha zake kwa rushwa ili awe raisi na ufisadi wake pamoja na mengi mengineyo, hili jamaa ni jitu la visasi na ukimya wake ni kuficha makucha.

LOWASA HATAKUJA KUWA RAISI WA NCHI YOYOTE DUNIANI HADI ANAZIKWA. HILO ASAHAU. TUNAMPANGO WA KUMFIKISHA MAHAKAMANI KWA WIZI NA UHUJUMU UCHIMI.

MWEHU YULE.

Usije ukahama nchi kama wenzio wanavyosema lowassa ni moto mwingine umpende au umchukie
 
Twelve : Ndii kiongozi pekee East Africa anaeabudiwa na viongozi wa Kenya, kwa kuwa ndie Mfalme wa Wamasai wote Duniani, basi ukitaka uwaone mawazi wa Kenya wakija kuhiji kwake na kupokea maelekezo na muongozo, karibu ni Munduli.
 
Kwao INZI; uvundo hunasibishwa kuwa ni UTURI..., Maulana tujalie tuenende salama...
 
Back
Top Bottom