Tanzania bara - zanzibar kumiliki ardhi

Tanzania bara - zanzibar kumiliki ardhi

Hamjui tu, mbona Wamasai wamehamia na wanamiliki kila kitu, fuata sheria mkuu, Wazanzibari ni watu wema.

Huku zanzibar wamasai ni walinda mageti tu wa mahoteli,some timez hukandamizwa na wataliano fresh.
 
Habari wana JF
Nataka kumiliki Ardhi hapa zenji...lakini kuna wadau wananiambia kwa kuwa mimi ni mtanganyika hairuhusiwi. Je hii ni haki kwa watz tuliopo zanzibar. Mbona wao bara wanamiliki. Nisaidieni nifanyeje

Ngoja akina Barubaru na Mdebwedo Bobwe waje watakupa maelezo ya kutosha tu.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja akina Barubaru na Mdebwedo Bobwe waje watakupa maelezo ya kutosha tu.

Zanzibar ni nchi ndio maana wadanganyika ni marufuku kumiliki ardhi,tanganyika haina nchi ndio maana imekuwa shamba la bibi,mnaumia wazanzibar kumiliki ardhi tanganyika mbona hamuumii wachina wakichimba dhahabu zenu?
 
Last edited by a moderator:
hao wamasai wameacha kuchunga ng'ombe huko kwao wanakuja zanzibar kulinda mageti ya mahoteli,ndio maana wataliano wanawakandamiza fresh.

si wanaendeleza utamaduni wa mzanzibari wa kupumuliwa kisogoni tangu enzi za mwarabu mnaempenda sana na kumtukuza?
 
Zanzibar ni nchi ndio maana wadanganyika ni marufuku kumiliki ardhi,tanganyika haina nchi ndio maana imekuwa shamba la bibi,mnaumia wazanzibar kumiliki ardhi tanganyika mbona hamuumii wachina wakichimba dhahabu zenu?

Wewe Bobwe acha Upuuzi.
Tumewapa hifadhi ndugu zenu akina Bilal huku, Hata Salmin nae yupo huku.
Huku ni Neema, Nyie ni ndugu zetu, binafsi nina Nyumba ndogo 3 kutoka Zanzibar.
Nyie mna dhiki sana, tusipowakarimu unafikri itakuweje ?
Hatuna Roho mbaya za inda kama zenu
 
Last edited by a moderator:
Na ndio lengo kuu la kuwadhuiya wageni kutomiliki ardhi.
Sawa kabisa, na ndio maana nawakubali Wazanzibar kwa upeo wa elimu ya uraia mnapokua mnachambua maswala ya Muungano na siasa. Umeangalia existential interests zenu, economic interests zenu. Huku Tanganyika bado tunaongelea "udugu wa enzi na enzi... mshikamano wa kitaifa... taswira ya umoja..." Wewe Mzanzibar unasema hapana, hapendwi mtu hapa, tukigawa ardhi Wazanzibar watapoteza territory yao kwa wageni, tena mimi wa Bara unaniita "mgeni" bila haya. Sawa kabisa. You will face an existential threat ya dhahiri. Nakubali. Mnafikiria kama Waingereza, ambao wanapanga kupiga kura ya kujitoa EU, wanachambua faida zake wanaona inakula kwao.

Sasa kwa vile Zanzibar ni ndogo sana, na haiwezi ku share ardhi yake, na pia wanataka madaraka kamili, basi wasitake kudoea vya wengine wakati sisi hatupati chochote kwao. Huko pwani huwa mnachukuliaje mtu anaetaka kula cha mwenzie na chake kisiliwe?

Zanzibar haitusaidii chochote, cha zaidi mnatuletea Kiswahili kibovu kama hicho cha "Kuwadhuiya wageni... Suali la kujiuliza... utaiyangaliaje Zanzibar" hata baada ya kuwapa quota provision ya nafasi maalum za elimu bure huku kwetu Bara, bado hata kuandika Kiswahili hamjui.
 
Habari wana JF
Nataka kumiliki Ardhi hapa zenji...lakini kuna wadau wananiambia kwa kuwa mimi ni mtanganyika hairuhusiwi. Je hii ni haki kwa watz tuliopo zanzibar. Mbona wao bara wanamiliki. Nisaidieni nifanyeje

Nitafute kaka, nakamaa mchambawima karibu na makunduuchi utanipata nyakati za saa mbili alasiri nitaweza kukupatia ardhi usiwe na khofu
 
Habari wana JF
Nataka kumiliki Ardhi hapa zenji...lakini kuna wadau wananiambia kwa kuwa mimi ni mtanganyika hairuhusiwi. Je hii ni haki kwa watz tuliopo zanzibar. Mbona wao bara wanamiliki. Nisaidieni nifanyeje

Pole sana ahali yangu.

Kumbuka "asiyejua aendako hawezi potea njia".

Nakupa pole
 
Habari wana JF
Nataka kumiliki Ardhi hapa zenji...lakini kuna wadau wananiambia kwa kuwa mimi ni mtanganyika hairuhusiwi. Je hii ni haki kwa watz tuliopo zanzibar. Mbona wao bara wanamiliki. Nisaidieni nifanyeje

Watanganyika tuache siasa za kishamba wewe unadhani Wazanzibari wasipolinda ardhi kidogo waliyo nayo wataishi wapi ktk nchi ndogo kiasi hicho?!

Kama sisi hatutaki Wazanzibari wasimiliki ardhi kwetu tuweke haya mambo ktk Katiba kwani tunashindwa nini? Sipendi baadhi ya Watanganyika wanapolalamika ktk issues ambazo wana uwezo nazo!
 
Hapo umenena ahali yangu.

Unajua kazi yao kubwa ni KUNUNG'UNIKA.
Tuwape pole majirani.
 
Hao wamasai wameacha kuchunga ng'ombe huko kwao wanakuja zanzibar kulinda mageti ya mahoteli,ndio maana wataliano wanawakandamiza fresh.

naona wamasai kuwepo zanzibar unaumia sana, kwa hiyo wewe asili ya jamii yako ni uandishi tu katika jamiiforum? hawakujishughulisha na uvuvi au kilimo wala uwindaji? nyinyi na kabila lako mlikuwa wataalam wa IT tangu enzi za binamu.
 
We kajaribu tu. kule tatizo ni dini tu na pombe. nothing else. Ukiacha hilo la kujenga, tuseme kiu inakusumbua unataka uoe fastafasta we kimbilia tu msikitini kusilimu. kesho utakuwa tayari ushapata bibi wa kuona. yakhee keshakuwa mwenzetu huyu. ushanifahamu?

Na kwa taarifa yako watoto wa kule wanawapenda sana nyie wala ugali kutoka bara. uwa hawasemi tu. tatizo dini! ukisilimu tu baaasi....utakuja unambie?! nipo hapa.

Endeleeni kujifurahisha....
 
Back
Top Bottom