Recent content by legend jemedari

  1. L

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa kizazi hiki wanakera mpaka basi. Hivi wanaokotwa wapi hawa viumbe?

    Kweli kabisa mtoa mada, hili ni janga kubwa sana kitaifa hususani kwenye hivi vituo vya redio na tv zinazoitwa za burudani, ni madudu tu kuanzia kwa watangazaji hadi hawa wanaoitwa ma presenter
  2. L

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufanya namba yako isipatikane huku simu ikiwa ON :

    Vipi kuhusu Voda, msaada tafadhali
  3. L

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufanya namba yako isipatikane huku simu ikiwa ON :

    Naomba msaada na Voda pia mkuu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mkulima Morogoro tushirikiane kulima

    Kuna kampuni Morogoro inajihusisha na kilimo kwa mkataba maalum wanajiita SOILA PLC, ingia mtandaoni uwasiliane nao watakupa maelekezo. Niliwaona hata kwenye maonyesho ya sabasaba kitaifa Dar walikuwepo.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Universe ni Ndogo: No light years between Planets or Galaxies

    Huo mwanga ambao bado unasafiri, unatoka wapi na unaenda wapi? sijajua kama kuna chanzo cha mwanga kinaweza kuangaza nuru the whole universe hadi useme kwamba bado kuna sehemu hazijafikiwa na mwanga
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kesi namba 456 (Jamhuri vs JamiiForums): Shahidi akiri mshtakiwa namba 2 yupo kimakosa...

    Hapo hayo maswali alitakiwa awe anayauliza Tundu Lisu ndio ungefurahi, ya ndio na hapana hadi raha
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi lilivyopatikana jina la Madina nchi ya Congo.

    Daah! Ngoja nikabe seat ya mbelembele
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Huu uzi utanifaa sana baada ya mda fulani, acha niuwekee alama kabisa
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya picha hizi mbili?

    Huyo mtu hapo mapokezi yakwanza anaandika kwa kalamu yenye kichwa chekundu ya pili ni kama anasoma tu hajaanza kuandika na hata kalamu hajashika
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba mbili za Lugumi zauzwa kwa Dr. Shika kwa Tsh. 2 bilioni. Mnunuzi abainika kuwa ni tapeli, mnada kurudiwa

    Nkanga chief upo, hivi vipi kuhusu ronja la jkt OP hii inayofatia watapata ajira kweli?
  11. L

    JamiiForums Tanzania I am Ignorant, sijawahi waona Wanawake Waislamu wakienda Msikitini

    Daah ila hapa kuna kaharufu ka ukweli japo ni asilimia chache
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Cheque

    Waache uhuni hao wafanye bank fund transfer kutoka kwao pesa iingie kwenye akaunti yako wewe watumie swift code ya bank yako na namba yako ya akaunti waipige hiyo cheque yako hukohuko kama hawalipi pesa mkononi.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya makinikia ya Almasi na biashara ya Tanzanite yawasilishwa. Prof. Mruma, Maswi na Muhongo washutumiwa

    Ngoja tusubili tuone mrejesho, nimeipenda hii Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi limepita Bukoba leo tarehe 30 Aprili, 2017

    Kweli mkuu mimi mwenyewe nimelisikia mwanzoni nikafikiri gari kubwa ila nikatambua nipo mbali na barabara kubwa, hali ilipodumu kwa dakika kama moja hivi bila kukata ndipo nikatambua ni tetemeko, inaoekana limeanzia bukoba maana huku mwanza limesikika mida ya saa nane kasoro hivi za usiku
Back
Top Bottom