Marie Curie:Mwanamke aliyeibadili dunia,mwanamke wa kwanza kuwa na tuzo mbili za Nobeli(Noble Prize)

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,583
Marie-Curie-women-in-history-29204127-460-288.jpg

Wengi wanaweza kujiuliza kuwa Hii avarta nayoitumia ni ya nani hasa?

Wengine wanaweza kwenda mbali zaidi na kusema labda mpenzi wangu mpya au wale wastaarabu wanaweza sema labda ni dada yangu.Wale watakaoniheshimu zaidi wanaweza sema ni mama yangu.

Pia wapo baadhi wanaoweza kusema ni JIRANI yangu hahahahahaha HAWA wanakosea sana yani kwenye PHYSICS/MATHEMATICS tunasema wapo OPP

Sasa leo ngoja niwape somo kidogo hasa kina dada ambao wanamipango mingi sana katika kutimiza ndoto zao walizojiwekea

Huyo AVATAR yangu anaitwa MARIE CURIE,Mmoja wa wanawake ambao PHYSICS/MATHEMATIC na science kwa ujumla haiwezi kumsahau.

Ni yeye huyu Marie Curie ndiye mtu wa kwanza kabisa kufanya mabomu ya Nuclear Kuwa kama ilivyo sasa hivi,yani kwa kifupi jeuri ya Mr KIDUKU inatokana na ugunduzi wa huyu .

Ni huyu huyu MARIE CURIE anahesabika kuwa mwanamke mwenye akili zaidi kuwahi kutokea duniani.

Ni binadamu wa kwanza duniani kupewa tuzo za heshima mara mbili tangu dunia kuanza.Namaanisha NOBLE PRIZE (1903 na 1911)

Wale wote waliosoma au wanaosoma Radioactive kwenye PHYSICS au wale wanasoma Degree ya Nuclear Physics wanamjua huyu kama mwanzilishi wa RADIOACTIVE.

Ni huyu huyu MARIE CURIE ndiye aliyefanya ATOMIC BOMB kuwa mpaka sasa huwezi tengeneza atomic bomb bila ku refer kwa MARIE CURIE

Ni mwanamke ambaye alipata upinzani mkubwa katika zama zake.Aliishi kipindi kimoja na wanasayansi wakubwa kama Neils Bohr na Albert Einstein.

Ni huyu huyu MARIE CURIE aliyemsaidia MAX PLANCK kusolve swali mgumu la hesabu lilimfanya ashindwe kuendelea na utafiti wake.

WANAWAKE wakiwezeshwa nao wanaweza ,ni huyu huyu MARIE CURIE aliyewezeshwa na Genius mume wake PIERRE Curie

H I S T O R I A YAKE F U P I :

Marie Curie alikuwa raia wa POLAND ,mwana-PHYSICS/MATHEMATICIAN na mwana-CHEMISTRY maarufu sana kwa enzi zake.

Marie Curie alizaliwa 7 November,1867 na alikuwa ni mtoto wa mwalimu.Mwaka 1891 alienda Paris kusoma Physics na Mathematics katika chuo cha Sorbonne ambapo alikutana na Prof.Pierre Curie-Professor wa Physics kwenye Chuo hiko.Na wakajenga mahusiano ya kimapenzi chuoni hapo na hatimaye wakafunga ndoa mwaka 1895

famous_people_in_history_-_pierre_and_marie_curie.jpg

(Marie Curie na mumewe wakiwa maabara)

Marie Curie na mumewe Pierre walifanya utafiti katika maswala ya Radioactivity,ambapo walikutana na Mwanahisabati kutoka German ,Roentgen na mwana fizikia kutoka FRANCE BECQUERED.Na hatimaye July 1898 ,Marie na mumewe PIERRE walifanikiwa kugundua element mpya waliyoiita POLONIUM.Na mwishoni mwa mwaka huo huo wakagundua ELEMENT nyingine waliyoiita RADIUM

220px-Curie_and_radium_by_Castaigne.jpg

(Marie na mumewe na Becquered wakitest RADIUM)

95702460_134555518230.jpg

Marie,Pierre na Becquered kwa pamoja wakazawadiwa Tuzo ya Heshima ya Nobel kwa ajili ya PHYSICS mwaka 1903.

130292-050-D1FB396A.jpg

Maisha ya mumewe yalikuwa mafupi sana ambapo mumewe Marie,Pierre alifariki mwaka 1906 kwa kugongwa na gari hivyo kumuacha Marie akiwa mjane.Marie Curie akachukua majukumu ya mumewe kufundisha PHYSICS chuoni hapo na kuwa mwanamke wa kwanza KUFUNDISHA chuo hicho..

Marie hatukatishwa tamaa na kifo cha mume wake bali aliendelea mbele katika kazi zake ambazo zingine alizianza na marehemu mumewe mpaka mwaka 1911 ambapo alipata tuzo nyigine ya heshima ila sasa ni kwa UPANDE wa CHEMISTRY(Noble Prize in CHEMISTRY)
Tafiti zilizofanywa na Marie Curie ndio zilichangia kwa kiasi kikubwa sana maendeleo ya X-Rays katika upasuaji.

th

(Marie Curie na wanae)

Wakati wa vita ya kwanza ya dunia ,Marie Curie alisaidia sana wanajeshi kwa kuwawekea X-Rays kwenye magari yao ya wagonjwa(Ambulance ),na hakuishia hapo kwani alikuwa sambamba na wanajeshi vitani hivyo nae ni mpiganaji wa vita ya kwanza ya dunia(WW1)
Baada ya vita ya kwanza ya dunia,Shirika la kimataifa la msaraba mwekundu ilimteaua Marie Curie kuwa mkuu wa department ya Radiactive katika kitengo chao.Marie Curie hakuishia hapo bali alianzisha mafunzo mbali mbali kufundisha namna ya kutumia X-Rays katika kitengo hicho

Ukiachana na mafanikio yake,Marie alipata upinzani mkubwa sana kutoka kwa wanasayansi wa kiume nchini mwake FRANCE na hakupata faida yoyote kutokana na kazi zake(Hapa naongelea financial )

solvay-conference-1927-jpg.598901

(Hii ni miongoni mwa picha za watu walioibadili dunia kuwa kama ilivyo leo hii,Magenius katoka picha moja )

TULIOKUWA WATABE WA PHYSICS HATUWEZ WASAHAU MARIE CURIE NA EINSTEIN ILA SISI WATABE ZAIDI TUNAWAJUA WOTE HAO

Naanza na hao waliokaa kutokea kushoto

Irving Langmuir, Max Planck(Wale wa Planck's constant kwenye Physics), Marie Curie(Huwezi kusoma Radioactive bila kumtaja huyu na mumewe Pierre), Hendrik Lorentz, Albert Einstein(Einstein Theory of relativity ), Paul Langevin, Charles-Eugene Guye, CTR Wilson, Owen Richardson

Wakati kati ni:

Peter Debye, Martin Knudsen, William Lawrence Braggn, Hendrik Anthony Kramers, Paul Dirac(Wale telecom wanamjua huyu), Arthur Compton, Louis de Broglie, Max Born, Niels Bohr.

Wanyuma waliosimama ni wafuatao:

Auguste Piccard, Emile Henriot, Paul Ehrenfest, Edouard Herzen, Theophile de Donder, Erwin Schrodinger, JE Verschaffelt, Wolfgang Pauli, Werner Heisenberg, Ralph Fowler, Léon Brillouin.

Mwanzoni mwa miaka ya 1920s afya ya Marie Curie iliendelea kuwa dhaifu mpaka mwaka 1934 alipofariki kutokana na shinikizo la damu.

Marie Curie aliacha watoto wawili ambao ni Irene na mdogo wake,Eve.

Mtoto wa nyoka ni nyoka tu ,msemo huu ulitimizwa na mtoto huyu wa MARIE CURIE ambaye naye alifanikiwa kupata tuzo ya NOBEL ya CHEMISTRY 1935

356aed35562ce73b076fce86723498ce.jpg

(Irene akiwa na Albert Einstein)

History-Hustle-Marie-Curie-2.jpg

(Irene akiwa na wazazi wake,Marie na Pierre Curie)

Hivyo napoamua kumuweka mtu kama MARIE CURIE kwenye AVATAR yangu nakuwa sijafanya kosa.

8-marie-curie-e1423084196246.jpg

UKIAMBIWA DUNIANI KUNA WATU WANA AKILI SANA UWE UNAELEWA!

SENGIWLE MAKAMANDA
 
Hatimaye leo nimekuwa wa kwanza kuchangia :):):):):)
(Joseverest umebuma hapa)
 
Her discoveries was accidental. Alikuwa amesahau radioactive elements kwenye draw ambazo zilikuwa na makaratasi fulani. Kesho yake wakagundua kuwa yale makaratasi yamebadilika kabisa. Basi wakahisi yale madini yana radio active elements. Yeye na mumewe wakaanza kazi ya ku enrich yale madini ili kuweza ku extract ile Uraniaum. Kupigwa na mionzi ndio kulipelekea kifo chake.
 
Mkuu vipi wewe ungekuta karatasi yamebadilika rangi ungeweza kugundua kitu?
 
Vipi mafanokio yao kimaisha
Hapa namanisha kiuchumi kati ya hao wooote hapo juu

Wangapi waliingia top ten ya matajiri duniani??

Hapa ndio utagundua akili ikiwa nyiingi saana kuzidi matumizi yake unageuka kuwa mtumwa
Nonsense ndo maana miafrika hatuwezi kuendelea tamaa ya pesa imefanya mijitu akili zimeganda. Hawa watu walikuwa dedicated na kazi zao na sio suala la kuwa tajiri.
 
Vipi mafanokio yao kimaisha
Hapa namanisha kiuchumi kati ya hao wooote hapo juu

Wangapi waliingia top ten ya matajiri duniani??

Hapa ndio utagundua akili ikiwa nyiingi saana kuzidi matumizi yake unageuka kuwa mtumwa
Wewe ndio wale ambao wanajulikana kama Hopeless kabisa.Sasa hawa si ndio walikuwa wa kwanza kugundua hayo mambo,hivyo ndio walipelekea wengine kunufaika nayo.Kwa jinsi ulivyo na kichwa maji Hukawii kuniuliza Faraday na TANESCO(Taasisi) nani kanufaika ziadi kiuchumi..
 
Marie-Curie-women-in-history-29204127-460-288.jpg

Wengi wanaweza kujiuliza kuwa Hii avarta nayoitumia ni ya nani hasa?

Wengine wanaweza kwenda mbali zaidi na kusema labda mpenzi wangu mpya au wale wastaarabu wanaweza sema labda ni dada yangu.Wale watakaoniheshimu zaidi wanaweza sema ni mama yangu.

Pia wapo baadhi wanaoweza kusema ni JIRANI yangu hahahahahaha HAWA wanakosea sana yani kwenye PHYSICS/MATHEMATICS tunasema wapo OPP

Sasa leo ngoja niwape somo kidogo hasa kina dada ambao wanamipango mingi sana katika kutimiza ndoto zao walizojiwekea

Huyo AVATAR yangu anaitwa MARIE CURIE,Mmoja wa wanawake ambao PHYSICS/MATHEMATIC na science kwa ujumla haiwezi kumsahau.

Ni yeye huyu Marie Curie ndiye mtu wa kwanza kabisa kufanya mabomu ya Nuclear Kuwa kama ilivyo sasa hivi,yani kwa kifupi jeuri ya Mr KIDUKU inatokana na ugunduzi wa huyu .

Ni huyu huyu MARIE CURIE anahesabika kuwa mwanamke mwenye akili zaidi kuwahi kutokea duniani.

Ni binadamu wa kwanza duniani kupewa tuzo za heshima mara mbili tangu dunia kuanza.Namaanisha NOBLE PRIZE (1903 na 1911)

Wale wote waliosoma au wanaosoma Radioactive kwenye PHYSICS au wale wanasoma Degree ya Nuclear Physics wanamjua huyu kama mwanzilishi wa RADIOACTIVE.

Ni huyu huyu MARIE CURIE ndiye aliyefanya ATOMIC BOMB kuwa mpaka sasa huwezi tengeneza atomic bomb bila ku refer kwa MARIE CURIE

Ni mwanamke ambaye alipata upinzani mkubwa katika zama zake.Aliishi kipindi kimoja na wanasayansi wakubwa kama Neils Bohr na Albert Einstein.

Ni huyu huyu MARIE CURIE aliyemsaidia MAX PLANCK kusolve swali mgumu la hesabu lilimfanya ashindwe kuendelea na utafiti wake.

WANAWAKE wakiwezeshwa nao wanaweza ,ni huyu huyu MARIE CURIE aliyewezeshwa na Genius mume wake PIERRE Curie

H I S T O R I A YAKE F U P I :

Marie Curie alikuwa raia wa POLAND ,mwana-PHYSICS/MATHEMATICIAN na mwana-CHEMISTRY maarufu sana kwa enzi zake.

Marie Curie alizaliwa 7 November,1867 na alikuwa ni mtoto wa mwalimu.Mwaka 1891 alienda Paris kusoma Physics na Mathematics katika chuo cha Sorbonne ambapo alikutana na Prof.Pierre Curie-Professor wa Physics kwenye Chuo hiko.Na wakajenga mahusiano ya kimapenzi chuoni hapo na hatimaye wakafunga ndoa mwaka 1895

famous_people_in_history_-_pierre_and_marie_curie.jpg

(Marie Curie na mumewe wakiwa maabara)

Marie Curie na mumewe Pierre walifanya utafiti katika maswala ya Radioactivity,ambapo walikutana na Mwanahisabati kutoka German ,Roentgen na mwana fizikia kutoka FRANCE BECQUERED.Na hatimaye July 1898 ,Marie na mumewe PIERRE walifanikiwa kugundua element mpya waliyoiita POLONIUM.Na mwishoni mwa mwaka huo huo wakagundua ELEMENT nyingine waliyoiita RADIUM

220px-Curie_and_radium_by_Castaigne.jpg

(Marie na mumewe na Becquered wakitest RADIUM)

95702460_134555518230.jpg

Marie,Pierre na Becquered kwa pamoja wakazawadiwa Tuzo ya Heshima ya Nobel kwa ajili ya PHYSICS mwaka 1903.

130292-050-D1FB396A.jpg

Maisha ya mumewe yalikuwa mafupi sana ambapo mumewe Marie,Pierre alifariki mwaka 1906 kwa kugongwa na gari hivyo kumuacha Marie akiwa mjane.Marie Curie akachukua majukumu ya mumewe kufundisha PHYSICS chuoni hapo na kuwa mwanamke wa kwanza KUFUNDISHA chuo hicho..

Marie hatukatishwa tamaa na kifo cha mume wake bali aliendelea mbele katika kazi zake ambazo zingine alizianza na marehemu mumewe mpaka mwaka 1911 ambapo alipata tuzo nyigine ya heshima ila sasa ni kwa UPANDE wa CHEMISTRY(Noble Prize in CHEMISTRY)
Tafiti zilizofanywa na Marie Curie ndio zilichangia kwa kiasi kikubwa sana maendeleo ya X-Rays katika upasuaji.

th

(Marie Curie na wanae)

Wakati wa vita ya kwanza ya dunia ,Marie Curie alisaidia sana wanajeshi kwa kuwawekea X-Rays kwenye magari yao ya wagonjwa(Ambulance ),na hakuishia hapo kwani alikuwa sambamba na wanajeshi vitani hivyo nae ni mpiganaji wa vita ya kwanza ya dunia(WW1)
Baada ya vita ya kwanza ya dunia,Shirika la kimataifa la msaraba mwekundu ilimteaua Marie Curie kuwa mkuu wa department ya Radiactive katika kitengo chao.Marie Curie hakuishia hapo bali alianzisha mafunzo mbali mbali kufundisha namna ya kutumia X-Rays katika kitengo hicho

Ukiachana na mafanikio yake,Marie alipata upinzani mkubwa sana kutoka kwa wanasayansi wa kiume nchini mwake FRANCE na hakupata faida yoyote kutokana na kazi zake(Hapa naongelea financial )

solvay-conference-1927-jpg.598901

(Hii ni miongoni mwa picha za watu walioibadili dunia kuwa kama ilivyo leo hii,Magenius katoka picha moja )

TULIOKUWA WATABE WA PHYSICS HATUWEZ WASAHAU MARIE CURIE NA EINSTEIN ILA SISI WATABE ZAIDI TUNAWAJUA WOTE HAO

Naanza na hao waliokaa kutokea kushoto

Irving Langmuir, Max Planck(Wale wa Planck's constant kwenye Physics), Marie Curie(Huwezi kusoma Radioactive bila kumtaja huyu na mumewe Pierre), Hendrik Lorentz, Albert Einstein(Einstein Theory of relativity ), Paul Langevin, Charles-Eugene Guye, CTR Wilson, Owen Richardson

Wakati kati ni:

Peter Debye, Martin Knudsen, William Lawrence Braggn, Hendrik Anthony Kramers, Paul Dirac(Wale telecom wanamjua huyu), Arthur Compton, Louis de Broglie, Max Born, Niels Bohr.

Wanyuma waliosimama ni wafuatao:

Auguste Piccard, Emile Henriot, Paul Ehrenfest, Edouard Herzen, Theophile de Donder, Erwin Schrodinger, JE Verschaffelt, Wolfgang Pauli, Werner Heisenberg, Ralph Fowler, Léon Brillouin.

Mwanzoni mwa miaka ya 1920s afya ya Marie Curie iliendelea kuwa dhaifu mpaka mwaka 1934 alipofariki kutokana na shinikizo la damu.

Marie Curie aliacha watoto wawili ambao ni Irene na mdogo wake,Eve.

Mtoto wa nyoka ni nyoka tu ,msemo huu ulitimizwa na mtoto huyu wa MARIE CURIE ambaye naye alifanikiwa kupata tuzo ya NOBEL ya CHEMISTRY 1935

356aed35562ce73b076fce86723498ce.jpg

(Irene akiwa na Albert Einstein)

History-Hustle-Marie-Curie-2.jpg

(Irene akiwa na wazazi wake,Marie na Pierre Curie)

Hivyo napoamua kumuweka mtu kama MARIE CURIE kwenye AVATAR yangu nakuwa sijafanya kosa.

8-marie-curie-e1423084196246.jpg

UKIAMBIWA DUNIANI KUNA WATU WANA AKILI SANA UWE UNAELEWA!

SENGIWLE MAKAMANDA
Usikae kusifia vya wazungu jaribi kuwasifia waafrika wenzio kama man fongo kwenye mziki wa singeli
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom