Mkuu @johnsonkazimoto Jaribu kwenda wizarani uombe kubadilishiwa (kupangiwa chuo badala ya shule),au kama unaweza kulipia subiri tu selection za NACTE kwa ufaulu huo utapata.
Chuo ni option nzuri kuliko Advance
Mkuu mzalendo15,
Katika RPL kigezo sio kingereza,ni ujuzi wa fani unayotaka shahada yake,na uzoefu wa kazi katika kada hiyo,ingawa kingereza kinatajwa kuwa moja ya vigezo vya kufanya mitihani hiyo
Tafuta setup zake uinstall kwenye PC yako, me nliidownload tu, hata ukiisearch google utaipata mkuu komeka
Ni downloader nzuri sana, kokote kwenye video inakupa option ya kuidownload
Habari zenu wanajamvi,poleni na kazi.
Nimebook tablet aina ya AJO Jumbo 11 tablet katika kampuni ya kaymu, naomba msaada wa specification za tab hiyo kama yupo anaeijua,pia usalama wa pesa yangu endapo ntaamua kuilipia kwa sababu mimi nipo mkoani,je shipping system yao ni salama?
Nipo sahihi mkuu Anheuser,moja ya sifa za black body yoyote ni hiyo,huwa ina absorb 100% ya heat na ni good radiator pia.
Soma zaidi hapa Blackbody Radiation
Thanks kwa response ndugu @WAHEED SUDAY na @6'sben,ila feni nimeiangalia vizuri inafanya kazi vizuri,in addition nikainunulia na Cooler Pad ambayo inaisaidia Computer kupoa vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.