Kwanini tairi za gari ni nyeusi?

Kwanini tairi za gari ni nyeusi?

Wanajamvi hivi hakuna uwezekano wa viwanda kuunda tairi za rangi tofautitofauti? Au kuna somo hapa?plz!
Somo la huo weusi wa tairi ni kwamba katika kutengeneza tairi lazima tairi iwe ngumu. Ugumu na uimara wa tairi unapatikana katika process iitwayo vulcanising. Process hii sanasana ni tairi kuunguzwa na kufanywa kuwa nyeusi.
 
Mbona hujauliza kwanini Mav*zi ni meusi
 
A black body is a good absorber and a good ratiator of heat
Leembaswagger, unakosea.

Ku-absorb ni kinyume cha ku-radiate, (kunyonya na kutoa).

Kitu hakiwezi kuwa kina sifa nzuri ya kunyonya na hapo hapo kina sifa ya kutoa, kwa sababu unachotoa (radiate) maana yake hujakinyonya (absorb).
 
Weusi wa tairi ni wa kisayansi kwa kuwa kwenye kutengeneza tairi kunaongezwa Carbon (ambayo ni nyeusi) ili kuzidisha uimara wa mpira uliotumika kutengeneza tairi na kupunguza uwezekano wa kupata pancha kwa urahisi.
 
Leembaswagger, unakosea.

Ku-absorb ni kinyume cha ku-radiate, (kunyonya na kutoa).

Kitu hakiwezi kuwa kina sifa nzuri ya kunyonya na hapo hapo kina sifa ya kutoa, kwa sababu unachotoa (radiate) maana yake hujakinyonya (absorb).

Nipo sahihi mkuu Anheuser,moja ya sifa za black body yoyote ni hiyo,huwa ina absorb 100% ya heat na ni good radiator pia.

Soma zaidi hapa Blackbody Radiation
 
il kuepka expansion of gas in tyre coz rang nyeuc ikfyonz jot ambyo ingepelekea gas kutanuka n tair kupsuka kutok harak
 
Nipo sahihi mkuu Anheuser,moja ya sifa za black body yoyote ni hiyo,huwa ina absorb 100% ya heat na ni good radiator pia.

Soma zaidi hapa Blackbody Radiation
Link yako mwenyewe inasema hivi

[SIZE=+1] "A black body is a theoretical object that absorbs 100% of the radiation that hits it. Therefore it reflects no radiation and appears perfectly black."[/SIZE]

Sasa hapo Mkuu, ni kipi ambacho labda mimi sikielewi?
 
Wanajamvi hivi hakuna uwezekano wa viwanda kuunda tairi za rangi tofautitofauti? Au kuna somo hapa?plz!

Ukishafahamu material ya tairi itasaidia kujua kwa nini ni nyeusi. Matairi yanatengenezwa kwa kutumia mpira(rubber) ambapo ni synthetic rubber na natural rubber kwa kuchanganya carbon black na kuimarishwa na fabric na nyaya (wires). Sasa hiyo carbon black ndio inayotoa rangi ya tairi kuwa nyeusi.
 
Ukishafahamu material ya tairi itasaidia kujua kwa nini ni nyeusi. Matairi yanatengenezwa kwa kutumia mpira(rubber) ambapo ni synthetic rubber na natural rubber kwa kuchanganya carbon black na kuimarishwa na fabric na nyaya (wires). Sasa hiyo carbon black ndio inayotoa rangi ya tairi kuwa nyeusi.

Bahati mbaya wazazi wenu na serikali yenu ya CCM wameua General Tyres Ltd ungeweza kwenda na kujionea process nzima ya production ya matairi
 
Kaka omba msamaha kwa kuudanganya uma...black colour is a good absorber of heat kama huamini vaa shati jeusi then kaa kwenye jua...ingekua rangi nyeusi ni good radiator basi mashuleni tungevaa rangi nyeusi maana ikiradiate joto na mwanga pia utakua radiated and vise versa is true....kuweka kumbukumbu sawa black colour good absorber and silver colour good radiator... Na mfano mashuleni tunavaa rangi nyeupe za mashati because it is good radiator of both heat and light kwa hyo ndio maana pamoja na joto lote la nchi darasani huwa tunakaa tu bila joto wala giza...hayo ya matairi bado sielewi...
I stand to be corrected...

be serious ww black colour n good absorber n radiator af white n good reflector af cku nyngne b4 ujapost inabd ujkumbushe Google kwanza
 
kwani ukiyapaka rangi juu ya hiyo nyeusi inakuwaje?
 
Hizi ni sababu za kitaalamu: Super Carbon Black
The chemical responsible is called
‘ carbon black‘ and it’s added to
protect your tires against ozone and
UV damage. Manufactures found that
by adding the chemical, it drastically
prolongs the life of the tire. So much
so, that all tire manufacturers use this
same additive in tire production.
 
Carbon black also has the capability
to resist the corrosive effects of ozone
and absorb the UV rays to convert
them into heat. Heat is preferable because as the tires cool down or
heat up, it can expand or contract to
accommodate the added stress. Where
ozone will attack the molecules and
chemical bonds which weaken the
overall integrity of a tire, expansion
and contraction are less damaging
and less dangerous. The result is a
safer, longer life tire.
Since UV light and ozone are one of
the biggest factors that contribute to
tire rot, protecting against them is of
the utmost importance to
manufacturers – right along with
safety and performance. Without the
additive, the tires would weather and
dry rot much more quickly.
Unfortunately, these chemical
absorbers do get used up and lose
their effectiveness over time. They
expend themselves in the process of
changing UV to heat and absorbing
ozone. As the carbon black additive
loses its ability to perform, it will turn
a light gray. This is one of the main
reasons why black tires will fade and
turn a near white as they age. I think you have got me clearly kijana
 
simple explaination is: tyres are black because they have Carbon Black added to them . a very fine powdered form of Carbon. This is not for the looks of the thing - the carbon is there to block sunlight which attacks the structure of the rubber. try leaving a natural rubber band exposed for a few days and see how it loses its flexibility and starts to crack etc.

Its quite possible to mix other coloured compunds into the rubber, white stripped tyres used to be the in thing in the US during the 60's .but they will cost more and wont be as protective as pure black tyre.
 
Back
Top Bottom