Recent content by Leeckie

  1. Leeckie

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Kama tangu mwanzo walijua kuwa bei ya mafuta itapanda na hawakuchukua hatua yoyote zaidi ya kututangazia kuwa bei ya kila kitu kitapanda bei sasa hiki wanachotaka kukifanya ni kuwafanya wafanyabiashara wapige super profit maana mafuta yatashuka ila bei ya vitu haitashuka. Walishindwaje kuchukua...
  2. Leeckie

    JamiiForums Tanzania Tafakuri yangu ya leo kuhusu Wazungu

    Sorry mkuu, ni nini kilisababisha mpaka tukawa race tofauti tofauti Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Leeckie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Old Bongo Flava

    Mbona zinaimba
  4. Leeckie

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli: Msako Wa Mange Kimambi

    We endelea mzee, wengine tunapenda story za kitoto kinoma
  5. Leeckie

    JamiiForums Tanzania CRDB hii Card Fee inatuumiza wateja!!!

    Walichokielezea humu ni tofauti na walichokifanya, mm kila mwezi wanakata makato ya mwezi ya shlng 1800, lakini na hyo 7999 nayo wamechukua... Nilijiuliza sana juu ya hyo card fee nikidhani ni mm peke yangu ndiye niliyekatwa kumbe tuko wengi. Hapa ni kwenda kutoa hela zangu zote na kuhamia benki...
  6. Leeckie

    JamiiForums Tanzania Gondwe awaita wawekezaji kuwekeza kwenye muhogo Handeni

    Ni mibichi mkuu...
  7. Leeckie

    JamiiForums Tanzania Gondwe awaita wawekezaji kuwekeza kwenye muhogo Handeni

    Mkuu, ni kweli wachina wamekuwa na uhitaji wa hii mihogo yetu ila tatizo lililopo ni katika bei yao ya manunuzi... Bei yao ya kununua mhogo ni tsh 100/kg. Ukipiga hesabu za uzalishaji, uvunaji na usafirishaji bei hyo hailipi.. Ila wakulima tunatangaziwa kuwa tuna wawekezaji
  8. Leeckie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Hii ndio conclusion ya hiyo mada mkuu... Hzo hzo comment zngne ni mbwembwe tu[emoji12][emoji12]
  9. Leeckie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio Channel Ya Movies Telegram Kwa Tanzania

    Hk ndicho kinachotokea baada ya ku_load
  10. Leeckie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio Channel Ya Movies Telegram Kwa Tanzania

    Link inagoma... Tutumie nyngne
  11. Leeckie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom