Recent content by Le ngosha

  1. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wengi wamekamatwa Qnet?

    Ulifanya utafiti au ni ujinga wa kurithi unaokutuma ucomment upuuzi huu
  2. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

    Ulifukuzwa CHADEMA baada ya ku misbehave;uko ccm unaenjoy maisha,haya mambo ya CHADEMA na MBOWE unayafuatilia kwa nini?unam-potray kama weak leader kama ndivyo kwa nini uumie ww green guard badala ya kifurahia. Na kama MBOWE ni weak leader why mnaendelea kumuandama kwa visa lukuki. Hiyo...
  3. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nimejikuta nimeoa mke aliyepitiwa na wengi

    Mbona hiyo namba ndogo saaa ,kumi tu? Wengine wameliwa na watu zaid ya 65
  4. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

    Usikariri,wapo wengi tu single mother's watu wana kula na kusepa....labda huko msingi lkn sekondari wengi wanazeeka bila kufanya vya maana.
  5. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania Sijawai sikia Ujenzi wa Mahakama je huwa zinajengwa na majini?

    Njoo ushirombo (bukombe) ujionee ujenzi wa mahakama ya wilaya unavyoendelea.
  6. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania Ndege ya asili... Made in Tanzania imeanguka usiku huu Sakina Arusha

    Hiyo ndege haina bima ili mhusika afidiwe anunue ndege mpya?
  7. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania Walimu mnaotarajia kuripoti vituoni msijaribu kujiunga na chama cha walimu (CWT)

    Hakuna ulazima wa kujiunga na vyama vya wafanyakazi,Sheria haiko hivyo...kinachofanyika ni ubabe usiokua na tija wa kuwakata wafanyakazi kabla ya maafikiano ya kujaza form za ttu
  8. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania Wanawake akili zao wanazijua wenyewe, aliniacha mwenyewe, amezalishwa huko ameachwa eti ananiomba turudiane.

    Wanawake wazuri na wenye akili ndogo sehemu zao za siri zitaumia sana.....
  9. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania Kupewa madaraka na ubunifu mkubwa wa kazi kwa Makonda chanzo cha chuki kubwa

    Alienda kama mgeni mwalikwa sio mgeni rasmi
  10. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania Duh! Wasukuma washamba sana jamani, sijawahi ona!

    Nyanokwebhe
  11. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania SEHEMU NZURI KWA BATA SHINYANGA

    Jisogeze liga hotel ufurahie maisha
  12. Le ngosha

    JamiiForums Tanzania Kwetu sisi Bara, nini hasara ya kutokuwa na Zanzibar?

    Mtoa mada umewaza mbali na hoja yako ni nzuri mno,hata mimi sijui ni kwa nini tunaendelea kuwang'ang'ania wazanzibar,kwa nini wasiachwe huru wakajadili mambo yao,wakaiendeleza nchi yao wenyewe.....
Back
Top Bottom