Ndege ya asili... Made in Tanzania imeanguka usiku huu Sakina Arusha

Nasikia kipindi cha nyuma walikuwa wanaomba vibali ili ndege zao zisafilishe abiria...
 
.. uwezo huo wa kusafiri kutoka sehemu moja kwa ungo kwenda sehemu nyingine haupo! ila huu ni ujanja fulani wa kitapeli ambapo unalenga kumpa sifa mganga fulani wa eneo la tukio hilo kua yeye ndie aliedhibiti anga lake wachawi wasipite. kwa kawaida baada ya tukio kama hili muandaaji wa hiyo muvi huanza kupiga hela!

nakubaliana na wewe, hivi watu wanakuwa wepesi wa kukubali? Ukiangalia ya Samunge ndio hivyo watu walidanganyika. Why tusifikiri?
 
Kuna ndege ya asili iliyotengenezwa na watanzania na yenye uwezo wa kumbeba abiria mmoja tu imepata ajali maeneo ya Sakina Arusha usiku huu, kwa mujibu wa Radio 5 Arusha kupitia mwandishi wake Davis Rhonyagira, ndege hiyo ilikua na rubani tu na kwa bahati nzuri hakuumia kabisa japo ndege yake imesambaratika vipande vipande.

Amedai kuwa ametokea Msumbiji akielekea jiji la Tanga. Wakazi wa Sakina wamempa msaada wa nguo na bado wanaendelea kumfanyia mahojiano!

attachment.php

huu usanii tu hakuna lolote. Hâta samunge watu waliamini sana babu watu wengi walipoteza maisha
 
Hivi wanaume huwa hawapai na nyungo? Manake sijasikia mwanaume kaanguka. Ama ni marubani murua?
 
Kuna ndege ya asili iliyotengenezwa na watanzania na yenye uwezo wa kumbeba abiria mmoja tu imepata ajali maeneo ya Sakina Arusha usiku huu, kwa mujibu wa Radio 5 Arusha kupitia mwandishi wake Davis Rhonyagira, ndege hiyo ilikua na rubani tu na kwa bahati nzuri hakuumia kabisa japo ndege yake imesambaratika vipande vipande.

Amedai kuwa ametokea Msumbiji akielekea jiji la Tanga. Wakazi wa Sakina wamempa msaada wa nguo na bado wanaendelea kumfanyia mahojiano!

attachment.php
Hiyo ndege haina bima ili mhusika afidiwe anunue ndege mpya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom