Recent content by Le mobimba

  1. Le mobimba

    JamiiForums Tanzania Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

    Sasa lengo la kumkashfu na kumtusi huyo jamaa ni lip hasa
  2. Le mobimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anadai ana mimba yangu, kutoa hataki, kulipa kodi hataki, kuhama hataki

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Le mobimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

    Replies bado mchana aise [emoji23][emoji23], duuh ntarud hapa night
  4. Le mobimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    This make sense aise, asome hapa alafu atajua kama anazika au anasafirisha
  5. Le mobimba

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Nahitaji hii piaa aisee
  6. Le mobimba

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Wazee wa michepuko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
  7. Le mobimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

    Hicho kidhungu aisee lazima ungelimwa tu [emoji23][emoji23]
  8. Le mobimba

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TANESCO rudisheni Service Charges

    Utakua mchawi wewe, vyuma vimekaza alafu unajiongelesha utumbo, kama unaitaka hiyo service charge ww Nenda kawaombe tanesco wakuekee mjaalaana mkubwa, unakatwa na wachawi
  9. Le mobimba

    JamiiForums Tanzania Mchezo mchafu unaofanywa na benki kuwapora wateja pesa zao

    Eti kwenye movie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Nataman ningekuepo maana napendaga kuona fujo kama hizo
  10. Le mobimba

    JamiiForums Tanzania Mchezo mchafu unaofanywa na benki kuwapora wateja pesa zao

    Bas ukiwaona utadhani wanahelaa.. na wanakuaga na vidharau dharau vyao vya ajabu,
  11. Le mobimba

    JamiiForums Tanzania Mchezo mchafu unaofanywa na benki kuwapora wateja pesa zao

    Safi kabisa, haiwezekani tunapeleka pesa zetu bank tukijua ndio sehemu salama, badala yake wanatuibia
  12. Le mobimba

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Sasa Mbn umesitisha uzi?
  13. Le mobimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani wengine tuna hisia kali

    We nae chiz kweli, kusoma hujui hata picha huoni? [emoji848][emoji848][emoji706]
  14. Le mobimba

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

    Well and good, hongera sanaa mwandaa uzi nimesoma Wote na nimeelewa [emoji120][emoji120]
  15. Le mobimba

    JamiiForums Tanzania DC Kasesela alikoroga Iringa. Apiga marufuku bajaji kufanya kazi

    Huyo DC nae Dishi limeyumba, kwa karne hii umbali mfupi nani anapandaga yao madala dala, Moshi, daladala za Moshi mjini- KCMC waligoma kisa Bajaji ila Mwisho wasiku waliamua kuchutama, saiv hamna daladala hata Moja ya KCMC wamebadilisha route
Back
Top Bottom