Jamani wengine tuna hisia kali

Hzo fursa mbona sisi wengine hazitupati au MAGOLI YA WAZI UNAPIGA NJE MSEEEE NGGGG SANA MLETA MADA FUTA UZI
 
Kuna tukio leo limenitokea.. ngoja nisimulie hapa nipate kujua kiundani, nimefanyiwa makusudi au bila kujua.

Leo mida ya jioni nilikua maeneo fulani kitaa nipo na washikaji zangu tunapiga story,
ilikua nje ya ukumbi wa Games (PlayStation)
tulikua watatu tunapiga story tumekaa kwenye bench na jamaa ambae ni office yake hapo.
Basi kulikua na wadada wawili majirani tu hapo (wao ni mafundi cherehani) wakaja kujiunga kwenye benchi letu story zikaendelea..

Story zilikua nyingi tu, kifupi mimi hao madada sina mazoea nao, hata kuongea nao sijawahi labda kupishana nao tu hayo mazingira. kwahiyo nilikua nachangia kidogo sana kwenye hizo story ambazo zinaendela.

Wao ndio walikua wanataniana sana na hao washikaji zangu wawili, mdada moja anadai mmoja hapo kati ya hao marafiki zangu ni bwana yake, akawa anamwambia wewe hunijali mala umeanza tabia ya kumpenda fulani.. sijui unamchepuko.. yani utani mwingi..

Basi tukio lilonitokea mimi ni, manzi wa pili alikuja kukaa karibu na mimi alikua kakaa mbali kidogo ila alidai anataka kukaa na mimi karbu, na kisha akawa kanikumbatia kwa mkono wake mmoja, yani alipitisha kabisa mkono wake hadi bega langu la upande wa pili..

Kiukweli huyo mwanamke alikua na matiti mazuri na yana joto sana kiasi kwamba nilikua nalihisi ziwa lake katika mkono wangu ulio upande wake,
Alikua kakaa kushoto kwangu, jamaa yangu yupo kulia kwangu, mimi katikati
Sasa alipokua akijarbu kuongea vizuri na huyu alie kulia kwangu amba yuko mbali zaidi, inafikia hatua ziwa/titi la huyu dada linagusa kifuani kwangu.

Yani fujo fujo tu, yeye kajiachia tu na kavaa nguo nyepesi juu
Akawa ananiuliza maswali mala naitwa nani, mala aniulize maswali ambayo hata hayaniusu mimi kabisa.

Sasa kichwani nikawa najiuliza anafanya hivi makusudi au vipi ?
Haoni kwamba ananitia mimi kwenye majarbu ?
Hata nikishawishika nikamtongoza, atanikubali na kunipa mzigo ?

Ilifika muda nikaamua kuondoka niwaache waendelee kutaniana wanao juana, nikawaaga nikaondoka.
Kuna uzi unaitwa "ulishawahi kula tunda kimasihara"
Upitie utajifunza kitu
 
Kwani huyo mdada mwenyewe anasemaje.?
 
Ungeliwa wewe kimasihara kama ungerndlea kukumbatiwa
 
Kiukweli huyo mwanamke alikua na matiti mazuri na yana joto sana kiasi kwamba nilikua nalihisi ziwa lake katika mkono wangu ulio upande wake
AISEEE NDO MANA LEO REAL MADRID KANICHANIA MKEKA WANGU
 
Kwakifupi manzi alikua baharia halaf wewe ukageuzwa kama ka dem unalengeshwa ulengwe...umetuaibisha sana man
 
Kuna tukio leo limenitokea.. ngoja nisimulie hapa nipate kujua kiundani, nimefanyiwa makusudi au bila kujua.

Leo mida ya jioni nilikua maeneo fulani kitaa nipo na washikaji zangu tunapiga story,
ilikua nje ya ukumbi wa Games (PlayStation)
tulikua watatu tunapiga story tumekaa kwenye bench na jamaa ambae ni office yake hapo.
Basi kulikua na wadada wawili majirani tu hapo (wao ni mafundi cherehani) wakaja kujiunga kwenye benchi letu story zikaendelea..

Story zilikua nyingi tu, kifupi mimi hao madada sina mazoea nao, hata kuongea nao sijawahi labda kupishana nao tu hayo mazingira. kwahiyo nilikua nachangia kidogo sana kwenye hizo story ambazo zinaendela.

Wao ndio walikua wanataniana sana na hao washikaji zangu wawili, mdada moja anadai mmoja hapo kati ya hao marafiki zangu ni bwana yake, akawa anamwambia wewe hunijali mala umeanza tabia ya kumpenda fulani.. sijui unamchepuko.. yani utani mwingi..

Basi tukio lilonitokea mimi ni, manzi wa pili alikuja kukaa karibu na mimi alikua kakaa mbali kidogo ila alidai anataka kukaa na mimi karbu, na kisha akawa kanikumbatia kwa mkono wake mmoja, yani alipitisha kabisa mkono wake hadi bega langu la upande wa pili..

Kiukweli huyo mwanamke alikua na matiti mazuri na yana joto sana kiasi kwamba nilikua nalihisi ziwa lake katika mkono wangu ulio upande wake,
Alikua kakaa kushoto kwangu, jamaa yangu yupo kulia kwangu, mimi katikati
Sasa alipokua akijarbu kuongea vizuri na huyu alie kulia kwangu amba yuko mbali zaidi, inafikia hatua ziwa/titi la huyu dada linagusa kifuani kwangu.

Yani fujo fujo tu, yeye kajiachia tu na kavaa nguo nyepesi juu
Akawa ananiuliza maswali mala naitwa nani, mala aniulize maswali ambayo hata hayaniusu mimi kabisa.

Sasa kichwani nikawa najiuliza anafanya hivi makusudi au vipi ?
Haoni kwamba ananitia mimi kwenye majarbu ?
Hata nikishawishika nikamtongoza, atanikubali na kunipa mzigo ?

Ilifika muda nikaamua kuondoka niwaache waendelee kutaniana wanao juana, nikawaaga nikaondoka.
Umri wako ni miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom