Kuna simulizi moja inasema hivi,
Fisi na punda walikua wanabishana kuhusu rangi ya majani,
Fisi anasema majani ni ya blue, punda anasema majani ni ya kijani,
Baada ya kubishana sana bila kufikia muafaka ikabidi waende kwa mfalme simba ili kupata jibu la uhakika,
Kufika kwa simba Fisi akasema...