Recent content by laurent Msembeyu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba SC wana matatizo gani? Wengi washaingia jela

    Eveva ni mwizi wa dhahili kabisa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

    Ngoma alikuwa anachanja mbuga kwenda kuonana na kipa wakamkata refa alalaza Msuva akafunga tuta hilo ni 2- 1 dakika ya 30
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

    Dakika ya 20 1-0
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nani kamfukuza Rais wetu Dar?

    Ni meya wa UKAWA ndiye kawafukuza Dar, Maana kama jana sikukuu ya mashujaa ingefanyika Dar basi ni yeye angeweka sime kwenye mnara wa mashujaa.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni rushwa ndiyo iliyoifanya CCM iwe nzuri

    Ni rushwa ndiyo iliyoifanya CCM iwe nzuri Ni rushwa ndiyo ilikuwa inaipamba CCM ionekane ni tamu inapendeza Ni rushwa ndiyo iliyokuwa inafanya matajiri waikimbilie, wagombee ubunge n.k Ni rushwa ndiyo iliyomwezesha Mohamed Dewji aliyekuwa mbunge wa Singida mjini apate ubunge huo apige deal...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Upo uhusiano wa kuwa teja na kutokuoga?

    Mateja wengi a.k.a wabwiya unga, watumiaji wa madawa ya kulevya ni wachafu, hawaogi, nguo zao chafu, nywele zao zimekaa ovo ovyo tu. Je! kuna uhusiano wowote wa kuwa jeja na kutokuoga. Sisi ni wanaharakati Fulani tunataka kujua kama kuna uhusiano, kama hakuna tuanze kuwakamata na kuwaogesha.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kodi ya vibanda vya stendi ya Buzuruga

    Shs 200.000/= ni kwa miezi mitatu siyo mwezi mmoja, hamna mfanyibiashara wa vyumba kuzunguka stand anayeweza kulipa 200.000 kwa mwezi Tanzania nzima.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Jukwaa Huru la Wazalendo Lalaani Maamuzi ya Meya wa Dar es salaam

    Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kutoa agizo la msako wa nyumba hadi nyumba ili kuwabaini watu wasio na kazi maalum, Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita aliibuka na kudai agizo hilo ni batili na haliwezi kutekelezeka kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna ya kuwapata wanaotumia vyeti vya watu wengine makazini

    Mimi ninamjua mbunge mmoja ana degree ya Master ambayo ni fake
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nipo tayari kuutumikia Umoja wa Afrika (AU) ikiwa nitapewa majukumu hayo

    Je anaweza kuzungumza lugha ya ya mama, anaweza kutema mayai kama Josephat Mfumukeko? Lugha inapanda vizuri maana kule hakuna Kiswahili mzee , mambo ya akili za kuambiwa changanya na zako kule hamna ni kutema mayayi tu kwenda mbele
  11. L

    JamiiForums Tanzania BAWATA:Chuki binafsi na Msukumo wa Dr Kigwangala ndio chanzo ya kumfungia Dr Mwaka

    Huyu DOCTOR Mwaka mbona alikuwa kama medical doctor badala ya kuwa wa tiba mbadala, si mumeona alikuwa anavaa stetoscope shingoni? je! huyo ni wa tiba mbadala kweli?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro atangaza oparesheni maalum kwa wenye vyeti vya kugushi

    Ila kwa kweli wakifanya zoezi hili watakinukisha vibayaaaaaa
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro atangaza oparesheni maalum kwa wenye vyeti vya kugushi

    Jina la kwanza na pili hayawezi kubadilika kwa vyovyote vile, jina la tatu laweza kubadilika sasa ukichunguza vyeti unaweza kukuta majina ya vyeti vyote hivi viwili yako tofauti mzee.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ndugai fanya hivi kulinda heshima ya bunge

    Spika kurudi hadi8 akae kwenye kiti tena hakika ni amajaliwa ya mnyazimungu
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kikwete kosa kubwa ni kumpa Magufuli chama, utanikumbuka

    Aliyesema ati mafisadi CHADEMA watakuwa na hali mbaya ni mpumbufu kupindukia kwani yule mhindi aliyekamatwa na sukari Dodoma akaenda kuvaa manguo ya kijani ya CCM alikuwa ni CHADEMA?
Back
Top Bottom