Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,225 Jul 26, 2016 #1 Timu ya soka ya Yanga inayoshiriki kombe la shirikisho barani Afrika imekubali kufungwa na timu ya soka ya Medeama magoli matatu kwa moja.
Timu ya soka ya Yanga inayoshiriki kombe la shirikisho barani Afrika imekubali kufungwa na timu ya soka ya Medeama magoli matatu kwa moja.
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,225 Jul 26, 2016 Thread starter #3 Dk 15 bado medeama anaongoza 1
Obama wa Bongo JF-Expert Member May 10, 2012 5,421 4,893 Jul 26, 2016 #5 wapigweeeee kandambili hao 3-0
Kyambambembe JF-Expert Member Jan 19, 2015 326 353 Jul 26, 2016 #7 Huku watu zinataka kupigwa kavukavu
thesym JF-Expert Member Aug 15, 2012 3,813 4,723 Jul 26, 2016 #8 Kama timu kama hii wafuga vyura wanahangaika kupata ushindi halafu mbwembwe nyiiiiingi kumbe hamna kitu.
Kama timu kama hii wafuga vyura wanahangaika kupata ushindi halafu mbwembwe nyiiiiingi kumbe hamna kitu.
nankumene JF-Expert Member Nov 12, 2015 7,335 8,118 Jul 26, 2016 #14 Amavubi said: Dida Kaokoa Penati Click to expand... mwenye link
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,225 Jul 26, 2016 Thread starter #15 DK 22 MEDEAMA WANAPATA LA pili
F fama JF-Expert Member Dec 11, 2011 740 435 Jul 26, 2016 #17 wametandikwa tena hahahaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,225 Jul 26, 2016 Thread starter #19 yanga wanapata penati dk 23
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,225 Jul 26, 2016 Thread starter #20 Msuva anafunga 2-1