msweken
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 441
- 1,714
Mimi binafsi nimefurahishwa sana na zoezi zima la uhakiki wa vyeti. Najua ni rahisi sana kuwabaini wenye vyeti feki kwa kutumia vifaa ambavyo vinapatikana Baraza la mitihani, uhakiki huu kwa kiasi fulani utarudisha heshima kwa wale walio tolea jasho vyeti vyao dhidi ya wale wahaini wa elimu ambao wamekua wakidhoofisha maendeleo ya Nchi hii kwakua hawana sifa stahiki za kutumikia nafasi walizo nazo.
Ugumu upo katika kuwapata wale wanaotumia vyeti vya ndugu zao, ama walio hai wakifanya kazi katika taasisi binafsi, ama ndugu zao ambao teyari wameshatangulia mbele za haki, sisi wananchi tunawajua kiundani kuliko ambavyo wao wenyewe wanadhani.
TAFADHALI SANA TUWEKEWE NAMBA AMBAYO TUNAWEZA KUTUMA UJUMBE ILI KUWATAJA, hii itarahisishia vyombo husika kuwapata wale wote wanaotumia vyeti visivyo vyao.
TUMEITAKA WENYEWE, WACHA TUISOME NAMBA WOTE.