Recent content by latentspace

  1. latentspace

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Bandari na Vita vya Misemo: Kupanguliwa kwa Mipango na Uongozi

    Wee msakatonge tuu umetumwa!
  2. latentspace

    JamiiForums Tanzania KKKT waunga mkono uwekezaji Bandarini, TEC nao wataunga tu

    Hakuna sehemu katika nukuu yako inayoonesha Askofu kuunga mkono swala la badari.
  3. latentspace

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete kukemea Udini peke yake haitoshi tunataka Msimamo wako juu ya Mkataba mbovu wa Bandari

    Kitumbua chake kimeshachafuka Kwa mchanga
  4. latentspace

    JamiiForums Tanzania Jipatie Pambo Maridadi

    ipendezeshe sebule, ofisi, sehemu ya mapokezi kwa pambo la mpira wa miguu uliotengenezwa kwa mbao.Bei zetu ni nafuu Sana kulingana na size ya mpira: small (40,000) small 60,000, pamoja na stendi yake medium(75000) medium 95,000,pamoja na stendi yake large (100,000) large 120,000. pamoja na...
  5. latentspace

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    kingereza cha waziri wa elimu kinatia kichefuchefu
  6. latentspace

    JamiiForums Tanzania Vodacom ni Wezi?

    kasesela zake
  7. latentspace

    JamiiForums Tanzania Mbunge na Madiwani Iringa Mjini, wasaidieni Madereva wa Bajaji

    Tatizo ni kuwa na viongozi wenye mgongano wa Kimaslahi. mkuu wa wilaya ya Iringa Mjini Mh Kasesela anamiliki coaster zaidi ya nne na ndiye aliyeshinikiza bajaji zisipite barabara za rami na analitumia jeshi la polisi kwa maslahi yake.
  8. latentspace

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    huhitaji kuingia gharama kubwa kwenye kutengeneza mizinga. mi nimetumia hizi box za pikipiki nikazibadili kidogo na nyuki wameshaingia.
  9. latentspace

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine (incubator) ya kutotoleshea vifaranga inauzwa

    uwezo : mayai 1056 uendeshaji: inageuza mayai yenyewe(Automatic) umeme: inatumia umeme kidogo Sana kwa kuwa inatumia coil heater ambazo huzimwa automatically muda fulani sensors: temperature na humidity sensors ndizo inazotumia accuracy: kama mayai yamerutubishwa vyema na jogoo inauwezo wa...
  10. latentspace

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Ukienda kuhudhuria mikutano ya kampeni ya mgombea uraisi kupitia CCM jiandae vizuri maana ukishaingia uwanjani huruhusiwi kutoka nje hadi mkutano utakapoisha. Jana hapa Samora Iringa kuna watu wengi walishinda njaa baada ya kutoruhusiwa kutoka nje ya uwanja. watu walisimama kuanzia saa 12...
  11. latentspace

    JamiiForums Tanzania Je tutaishinda korona (siasa+ujinga+umaskini+imani)?

    Nimejaribu kufikiri kwa kina namna tunavyoikabili hii vita ya ugonjwa wa korono. Mapambano dhidi ya korona kwa Afrika na Tanzania kwa kipekee yana mchanganyiko wa siasa,ujinga,umaskini na imani. Kwa Maoni yangu hii vita tumeshashindwa kwa kuwa mchanganyiko wa siasa,ujinga dhidi ya korona...
  12. latentspace

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umetuvuruga wala sio siri tena. Hotuba yako ya leo Chato imezidi kuleta taharuki

    Nimesikiliza hotuba ya raisi leo wakati wa kuapishwa waziri mpya wa katiba na sheria mh Mwigulu Nchemba anayechukua nafasi iliyoachwa wazi kutokana na kifo cha aliyekuwa waziri wa wizara husika Dr Augustine Mahiga. Jambo jipya ambalo raisi katumia muda mwingi kulizungumzia ni swala la...
  13. latentspace

    JamiiForums Tanzania RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

    Nampongeza Mama kwa kuthamini afya yake na wanaomzunguka.Hapa tunaona faida ya kupima mapema na kuchukua tahadhari mapema.
  14. latentspace

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Uongozi wa Shirikisho la viwanda Tanzania(CTI), unatangaza kifo cha Mkurugenzi wao Mstaafu, Hussein Kamote

    Tujiandae kisaikolojia kuwapoteza wazee (55yrs and above) katika hii vita dhidi ya korona. ukweli unasifa ya kuwa mchungu
Back
Top Bottom