Hahah Huo mzinga una AC ndan ama??maana kwa makapuku mizinga hata 10 hatutaweza kununua
216,000/= ths
216,000/= ths
Jana nilikuwa naongea na mtu mmoja fundi seremala yeye huwa anatengeneza mizinga, akaniambia mzinga mmoja unapata lita 20. NilishangaaEneo la Eka moja linaweza Kukaa Mizinga ya Kisasa Mingapi?
Maximum Output ya Mazao ya Nyuki Kwa Mzinga 1 ni Kiasi Gani?
Mkuu hii ya kibaha una maanisha pale mkoani??Habari mkuu,nenda pale LITI- Morogoro wana kitengo cha ushauri utajifunza mengi. Au for practical guide fika maili moja Kibaha mkoani karibu na Polisi kuna msitu wanafuga kisasa.
wa pili uwe the only behiveSoma hiyo bee keeping guide (102 pgs)....... Siku ukitajirika usinisahau mzinga wako wa kwanza uite voiceofreason :lying:
Penn State Extension
JE UNATAKA KUFUGA NYUKI KWA NJIA YA KISASA NA KIBIASHARA ZAIDI
THE HIVE LTD TANZANIA WANASHUGHULIKA NA MAMBO HAYA
MPIGIE MENEJA MIRADI BW. Nicas Mbeikya 0653 930 391 au 0653242627 Kwa maelezo ya kupatikana kwa soko,mizinga na vifaa vyake vya kisasaaa.
Kazi nzuri sanaIt's my pleasure introducing to you ALOHEN Company ltd.
Alohen is a private Company deals Located in Mafinga-Iringa dealing with Beehives and other related equipments, all our hives are manufactured here in Tanzania (not imported) with quality kiln dried pine patula timber and well smoothened to make a better and suitable home for bees. Our hives are strong durable and withstanding all environmental condition with a life span of more than 30 years. Our hives are designed with very strong and effective Hive doors to lock the bees inside during re-location or transportation. The door locks are designed in such a way that you can calibrate entrance to match the size of the bees in order to avoid entry of unwanted pests such as the Hive beetles, Wasps etc.
Ni mzinga wa kisasa wenye uwezo wa kutoa kilo 12 hadi 14 kwa mvuno mmoja,
Una uwezo wa kuvuna zaidi ya mara sita kwa mwaka mmoja
View attachment 505162 View attachment 505162 View attachment 505165 View attachment 505166 View attachment 505165 View attachment 505166 View attachment 505162 View attachment 505165 View attachment 505166
uko wapi?nitafute kwa 0673609882Hata mimi niko tayari kwa kujiajiri, ila tatizo na kupata watu ambao mna lengo moja. Mimi binafsi nimependa idea ya kufuga nyuki lakini mnaonaje tukiunganisha nguvu na kufanya kitu in large scale?
Una mawazo gani tena jmn??Mkuu........nlijua una maanisha asali nyngine
. Kuna asali tamu ....afu kuna ASALI ya nyuki😂😂Una mawazo gani tena jmn??View attachment 1679011
Mkuu hakika umefanya Jambo la maana na kubwa Sana ,nimekutumia pm number zangu unisaidie kujua muonekano wa ndani na ikiwa box huwa unapunguza ukubwa au unaacha hivyo hivyohuhitaji kuingia gharama kubwa kwenye kutengeneza mizinga. mi nimetumia hizi box za pikipiki nikazibadili kidogo na nyuki wameshaingia. View attachment 1680549View attachment 1680551