latentspace
Member
- Apr 14, 2020
- 19
- 40
Nimejaribu kufikiri kwa kina namna tunavyoikabili hii vita ya ugonjwa wa korono. Mapambano dhidi ya korona kwa Afrika na Tanzania kwa kipekee yana mchanganyiko wa siasa,ujinga,umaskini na imani. Kwa Maoni yangu hii vita tumeshashindwa kwa kuwa mchanganyiko wa siasa,ujinga dhidi ya korona, umaskini, na imani ni jinga jingine hatari zaidi ya ugonjwa wa korona. hakuna plan,projection ya madhara yatokanayo na korona. Imani Ike kuwa ndio silaha kubwa dhidi ya korona kuliko matumizi ya akili na maarifa juu ya korona yanayochagizwa na tafiti sahihi na matumizi ya teknolojia juu ya mapambano haya. Umaskini wetu umetufanya tushindwe kununua vifaa vya kujikinda kama vile PPE kwa wauguzi na madaktari,tumeishia kutengeneza cheap masks at expense of quality. Korona imegeuzwa kuwa mtaji wa kisiasa.
coronaChina(knowledge,technology)
coronaEurope(knowledge,technology, faith)
coronaAfrica(politics,ignorance,poverty, faith)
Sent using Jamii Forums mobile app
coronaChina(knowledge,technology)
coronaEurope(knowledge,technology, faith)
coronaAfrica(politics,ignorance,poverty, faith)
Sent using Jamii Forums mobile app