Joan S
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,382
- 9,503
Ukweli kbsWengi wanalalamikia Mitandao bila kuelewa,Unakuta kasett automatic downloads wasapu,sijui telegram ku update App automatic ana App unnecessary,bando linawahi kuishia anaanza kulalamika Mtandao Fulani ni wezii wakati hajaangalia simu yake vizurii + matumizi yake.Nani hajui Insta inakula Mb?Nani asiye jua YouTube Vidmate wanakula mb pasipo kawaida?