Recent content by LAT

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA kumpeleka Ulimboka India kwa matibabu

    left-hand thinking capacity
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe aungana na Mnyika kusema serikali ya Kikwete dhaifu

    silly thread ..... a continued extended ignorance
  3. L

    JamiiForums Tanzania Zitto na Nchemba now on tbc

    huyu mwigulu nchemba sijui kwanini alikubali kwenda TBC kujadili mambo ambayo hayamudu well done zitto ... umeeleza ukweli na ukaeleweka kwa manufaa ya taifa
  4. L

    JamiiForums Tanzania JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    in JF .... you can sometimes enjoy a bundle of ignorance from professional ignorant's
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

    mama Pdidy mungu akupe pumziko jema nasi tukuombee roho yako ikae mahala pema na sisi utuombee safari njema ya hapa duniani .... ili mwisho wote tukutane katika ufalme wa bwana
  6. L

    JamiiForums Tanzania Supplier wa vifaranga na vyakula vya kuku

    mkuu weka bei hapa jamvini ..... Broiler Starter, Finisher? bei gani Layers (grower and mash) je ni nini chakula chako kiko tofauti zaidi na vingine kama Falcon, IGO au Hill ..... competitor advantage je mteja akihitaji bulk mnaweza kufanya delivery weka na formular yako hapa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    hivi ... leo nikihesabiwa kama muislam halafu kesho nikabadilisha dini na kuwa mkristu .... hizi data zitakuwa zinapotosha mbali na kuwa useless
  8. L

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    will the boycott help to know the population of Muslims?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Chadema msiwatumie raia wapenda amani kufanikisha malengo yenu ya kisiasa

    ujinga ni kitu kibaya sana
  10. L

    JamiiForums Tanzania Cement mixer

    are you talking about concrete mixer ? mixing sand, cement and aggregates with water to cement ratio
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    @RITE mkuu ... ndiyo hiyo hiyo ninayohitaji .. je ninaweza wapi kupata mbegu ya majani haya ya Lucine (Leuceana) natanguliza shukrani
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    RETI Lucina .... unamaanisha Lucerna (Alfalfa lucerna) .... mkuu ninaitafuta sana mbegu ya majani haya .... je unaweza kunisaidia nitaipataje? natanguliza shukrani
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hot Nuuz: Mahakama Kuu leo Imempa Ushindi Lulu Michael Kuhusu Umri Wake

    Birigita ..... unaakili sana wewe
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

    mkuu Pdiddy pole sana ... hii ni mapenzi ya mwenyezi mungu .... sote tutaifuata safari hii ya mama yetu mpendwa mungu amuweke mahali pema
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye gari hizi tuwasiliane fasta...!!

    Toyota Hiace Super custom, 4WD, Diesel
Back
Top Bottom