Mbowe aungana na Mnyika kusema serikali ya Kikwete dhaifu

bia.jpg
CCM na pombe
 
Hizo hela unataka azikatae katika kipindi hiki cha serikali lege lege ziende wapi? Unataka kutueleza kuwa Wasira atazipeleka kwenye maendeleo badala ya kutafuta mganga wa kumfanya Bulayo asipendwe.

Nitarudi baadae ngoja wadau waelezee kidogo
 
Yule aliyetupa ahadi lukuki hadi leo hii tukizisubiri ndiye ametuhadaa.
 
[SIZE=4 [USER=34266]Ritz[/USER] ni kwa muda sasa post zako nyingi unazungumzia tuu gari analotumia Mh. Mbowe kama KUB. Inawezekana akawa kweli halitaki hili gari lakini kama KUB ana stahili ya kupewa gari na yeye siye mwenye kuagiza magari ya serikali.

Pili kumekuwepo hoja yakupiga mnada hayo magari; wanaotetea hoja hii wanaamini kuwa raia wa Tanzania wana pesa kuliko serikali yao? Kama ni ndiyo kwa nini wewe Ritz unapinga hoja ya upinzani kuwa Serikali haiwezi kugharamia bajeti yake bila mikopo ya kibiashara?.[/SIZE]
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo ushauri wako nini, gari kwa ajili ya kiongozi wa kambi ya upinzani lipo kisheria na alichokataa ni gari la kifahari na sio gari la kumwezesha yeye kufanya kazi kama kiongozi wa kambi ya upinzani

Kuhusu posho wanachukua hawachukui mimi sioni shida hapo, suala je hoja haikutolewa kuwa posho ziondolewe ? unataka wafanye nini watu wanaambiwa hii ni sheria ukuisha saini lazima tunaingiza kwenye akaunti yako , alafu wewe ukitaka zichukue zipeleke kwa wapiga kura, sisi hatuwezi kuzirudisha , kosa lao ni lipi, try to think critically !


Why is everybody so deffensive? what are you hiding? most politicians are big pretenders. All have ill hidden motives and would do anything to get our votes. Both religion teaches respect. Kikwete has his faults, YES but at the end of the day he is our leader. We can differ, correct him and even argue with him f need be be but we should refrain from acting like hooligans. I for one does not like the way he has run this country. Chadema can bring change but its MPS should also learn to respect cause they should not forget that one day we might have a president from Chadema and we would want people to think this is the way.
 
Wanabodi.

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, anawahadaa Watanzania.

Mbowe aliwahadaa Watanzania kwa kukataa gari la Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), Lakini akageuka kwa mlango wa nyuma na kuchukuwa jipya.

Mbowe alisema ni kweli kuwa hivi sasa analitumia gari la KUB ambalo alilikataa kwa kipindi cha miezi sita.

Kuhusu kugomea posho ya Sh80,000 ya bunge na kuchukuwa posho ya Sh 2 milioni kwa mwezi kama KUB, Mbowe alisema ni stahili zake ambazo zimepangwa na Bunge.

SOURCE: MWANANCHI JUN 21 2012

Utendaji mbovu CCM hauwezi kukerebishwa kwa mgongo wa Mbowe. Bado mfumko wa bei uko juu, madaktari wanapanga kugoma, walimu nao wanapanga kugoma, deni la taifa linazidi kupaa, miradi ya barabari inanuka madeni, makampuni ya madini wanaendelea kuzoa madini na kupeleka utajiri kwao, wakulima wa pamba wako njia panda, korosho nako si shwari na kama haitoshi IPTL bado inatafuna TANESCO!

Hii kadhia/fedheha haitoondoka kwa Mbowe kukataa/kukubali gari.
 
Dhaifu Mbowe anawambia Chadema wenzake wagomee posho ya Sh80,000 halafu yeye anachukuwa Sh 2 milioni kwa mwezi..
 
Ritz
usitake kututoa kwenye mambo ya msingi jamani kwanini lakini? tujadili kwanini jk ni dhaifu tumalize hayo yalisha pita jamani
 
Hivi wewe mtoa mada, umekosa kitu cha kuleta hapa jamvini Kinacholeta mvuto kwa wasomaji,halafu unatoa matapishi tu? Hatuhitaji mawazo mfu hapa.
 
Utendaji mbovu CCM hauwezi kukerebishwa kwa mgongo wa Mbowe. Bado mfumko wa bei uko juu, madaktari wanapanga kugoma, walimu nao wanapanga kugoma, deni la taifa linazidi kupaa, miradi ya barabari inanuka madeni, makampuni ya madini wanaendelea kuzoa madini na kupeleka utajiri kwao, wakulima wa pamba wako njia panda, korosho nako si shwari na kama haitoshi IPTL bado inatafuna TANESCO!

Hii kadhia/fedheha haitoondoka kwa Mbowe kukataa/kukubali gari.

Chadema ni sahisi kuandaa bajeti ya harusi na si bajeti ya nchi "Ngeleja"
 
Achaneni na wanafiki jamani..sijaonaga bado mwanasiasa wa tanzania mwenye mapenzi ya dhati na hili taifa tangu mwal nyerere aondoke madarakani.
 
Hivi wewe mtoa mada, umekosa kitu cha kuleta hapa jamvini Kinacholeta mvuto kwa wasomaji,halafu unatoa matapishi tu? Hatuhitaji mawazo mfu hapa.

Kumbe wewe upo JF kufuata mvuto ina maana wewe huu udhaifu wa Mbowe, hauoni?
 
Mwaka2006200920122015
Deni la Taifatr 6tr 9tri 22?

deni la taifa.JPG
 

Attachments

  • deni la taifa.bmp
    1.9 MB · Views: 33
Back
Top Bottom