Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Poultry Sayuni, May 22, 2012.

 1. P

  Poultry Sayuni Senior Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wafugaji oyeee

  Vifaranga kienyeji/chotara wanapatikana (cross ya red rhode Ireland &kuchi )


  Vifaranga kwa oda
  1-3day old chick 2000

  Tunapatikana mbezi mwisho (Mbezi ya kimara) mwanzoni mwa njia ya goba
  0712057514

  Karibuni sana

  Bado vifaranga wanapatikana na pia tumeongeza mbegu ya kenbro ktk kundi.
  Unaponunua vifaranga kwetu unapata fursa ya kupata chakula cha kuanzia (Starter) hii ni kuhakikisha vifaranga wanaendelea kukua katika ubora ule ule.
   
 2. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,265
  Likes Received: 4,238
  Trophy Points: 280
  Hivi vifaranga ni vya kuku wa kienyeji?
   
 3. P

  Poultry Sayuni Senior Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yes, ni vya kuku wa kienyeji, pia wanao uwezo wa kutamia mayai
   
 4. msani

  msani JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  dah mkuu yaai nimeingia humu kwenye jukwaa la biashara maalum kupata mtu anayeweza nisaidia hii kitu maana naweza kuwa mteja wako wa vifaranga.....nahitaji kuanza kufuga hao vifaranga,naomba unisaidie mtaji ambao naweza kuanza nao ikiwa nitataka kuanza na vifaranga 100,namaanisha kiasi cha pesa ili niweze kumudu idadi hiyo ya vifaranga ikiwa ni pamoja na kuwaendeleza..plz mkuuu
   
 5. P

  Poultry Sayuni Senior Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Msani, Naomba nikupe maelezo yote kesho maana hapa nipo na jukumu, sijatulia

  Thanks.
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mkuu ukiwa unasubiria jibu la RETI kuna mambo muhimu ya kufikiria kwanza....

  1. eneo la kuwaweka
  2. eno hilo linafaa kufugia kuku? sio kila eneo linafaa
  3. ukubwa na gharama za kujenga banda
  4. Gharama ya chanjo.....na mtu wa kuziangalia kama sio wewe mwenyewe
  5. ni vizuri ukwaweka chini gharama ya chakula na vitu vingine hadi hapo zitakapoanza kurudisha hela (kutaga)....

  Mengine tumsubirie mkuu RETI!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. P

  Poultry Sayuni Senior Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Msani
  Nimerudi. Kwanza samahani kwa kuchelewa
  Nimeweka attachment angalia, Hope itasaidia pia na wengine watachangia mengi.

  Thanks
   

  Attached Files:

 8. K

  KABUKU.COM New Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini umaskini unaweza kutokomea endapo utauendeleza vizuri mradi huu. All da best people.
   
 9. C

  Clfiton Andrew Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hiyo bei ya viota ninapata viota vya kuku wangapi?, Ni Viota kwaajili ya kutagia mayai?
   
 10. C

  Clfiton Andrew Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Naweza kupata photos viota ili nione jinsi vilivyo? Please attach
   
 11. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Asante kwa maelezo yako ila nashangaa hawa kuku unawaita ni wa kienyeji au hybrid au wakisasa kabisa?
  nauliza kwasababu naona aina ya chakula unachowalisha ni cha kuku wa kisasa chenye uwezo wa kuwafanya watage hata bila ya kupandwa na jogoo hivyo ni vyakula maalum kwa layers na very expensive....
  labda niwe nimekuelewa vingine lakini kuku wa kienyeji asilia zaidi ya nafaka na protini na madini mengine haitaji hormones za kumfanya atage kwani kwao ni asili yao baada ya kupandwa na jogoo, kama binafsi umeshindwa kuchanganya chakula tu chenye viine lishe maalumu kwa kuku sio lazima uwalishe layers mash.
  Ninapata hisia kuwa hawa ni wa kisasa na iwapo mtu akiwanunua na kufanya zero grazing sijui kama wata survive wakati kwa wa kienyeji na hybrid ingewezekana mradi wanaongezewa vyakula vinavyopungua ktk mazingira yao.
  Ndio maana watu wanaulizia ni breed gani, taja hata hizi locals ili tujiridhishe kuwa ni kuku wa aina gani unaouza. Asante
   
 12. P

  Poultry Sayuni Senior Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mama Joe

  Hawa kuku ni wa kienyeji, ninazo mbegu tatu tofauti (Kienyeji asili, Kuchi chotara na Rhode red island)
  Kuhusu chakula kuna mtu alitaka mchanganuo kwa style hiyo ili apate mwanga kidogo ila kawaida kuku wa kienyeji hawaitaji chakula cha dukani japo wakila hicho cha dukani haina shida yoyote. Ndo maana pia nikasema gharama ya chackula itapungua kulingana na mahali na mahali, kulingana na upatikanaji.

  Asante
   
 13. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  NAomba kuuliza , huwa huwapi dawa dawa , nahitaji sana mayai ya kienyeji ila naogopa kama utakuwa unawapiga sindano na madawa mengine , je unafanya hivo?
   
 14. P

  Poultry Sayuni Senior Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkomatembo, Nimependa swali lako
  Honestly, Chanjo kama njano wanapata kwa muda wake ila hapo kwenye dawa sina sana historia ya kuwapa madawa mara kwa mara maana wanakula sana majani/Lucina, mwarobaini, aloe vera kwa hiyo utaona kuumwa si mara nyingi japo ikitokea kama mafua nawapa dawa na mayai wakati wa dozi yanatotoleshwa.
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  RETI

  Lucina .... unamaanisha Lucerna (Alfalfa lucerna) ....

  mkuu ninaitafuta sana mbegu ya majani haya .... je unaweza kunisaidia nitaipataje?

  natanguliza shukrani
   
 16. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Nimechukuwa namba yako, nitakutafuta. Thnks
   
 17. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Asante hapa nimeridhika nitakutafuta mkuu, maana wateja wengi hawataki mambo ya kisasa kuhofia hormones zinazowekwa kwenye vyakula vyao hasa kama anawalisha watoto na mama mjamzito...nitakutafuta je jumamosi unakuwa wapi tukutafute
  maana siku za wiki wengine ni ngumu, pia tungepata muda wa kuongea ukatulekeza mengine.
  tukikupigia tunachukua keshoye au tunalipa kwa oda na ya muda gani? pia posta unaweza leta jioni mfano saa kumi?
  natanguliza shukrani
   
 18. D

  DON YAN Member

  #18
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele RETI.

  Mimi nataka kufuga kuku wa kienyeji kwa kufata mchanganuo wa kuanza na kuku jike 5 na jogoo mmoja kama ilivyo elezewa kwenye topic moja umu jf,nachotaka kufanya kama jamaa alivyo sema kuwa kuku wanaweza taga adi mayai 30 mimi niyachukue afu nitotoreshe kwenye mashine ilinipate vifaranga alaka afu wale waendelee kutaga tena baada ya muda mfupi.

  Nachotaka.
  1 jinsi ya kutunza mayai na yanaweza kaa kwa muda gani
  2 mahari napoweza totoresha mayai na gharama yake
  3 kama naweza kukutembelea nikaona jinsi unavyo fuga.
   
 19. P

  Poultry Sayuni Senior Member

  #19
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mama Joe

  Hope unazungumzia mayai, unaweza kupata kesho yake. Tunaweza kuonana mitaa ya posta kuanzia j'tatu-ijumaa. siku za w'end nakuwa tight sana. Nafikiri tupange tu yote yanawezekana
   
 20. P

  Poultry Sayuni Senior Member

  #20
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  LAT

  Lucina (Leucaena) ninayosema ni tofauti na hiyo. jaribu ku-google uone


  "Animal production
  Leucaena is well known for its high nutritional value and for the similarity of its chemical composition with that of alfalfa (Table 2.1.3). However, leucaena forage can be low in sodium and iodine, but is high in b -carotene. Tannins in the leaves and especially the stems of leucaena reduce the digestibility of dry matter and protein but enhance the 'bypass' value of protein.
  Digestibility and intake values for leucaena range from 50 to 71% and from 58 to 85 g/kg[SUP]0.75[/SUP] liveweight respectively (Jones 1979). The lower values were suggested by Jones (1979) to-be associated with the effects of mimosine on intake when pure diets of leucaena were fed.
  Animal production on leucaena based pastures is excellent. In southeast Queensland, cattle on leucaena/setaria pastures gained between 310 and 430 kg liveweight/ha, approximately twice that obtained from siratro (Macroptilium atropurpureum)based pastures in the same environment (Jones and Jones 1984). In low frost environments, leucaena foliage can be heldover for feeding in the cool or dry season providing valuable high protein feed during stress periods for grazing ruminants. Under ideal growing conditions under irrigation on the fertile alluvial plains of the Ord River valley, leucaena/pangola (Digitaria decumbens)pastures produced annual liveweight gains of 273 kg/head or 1422 kg/ha at a stocking rate of 6 weaner steers/ha (Davison 1987). In central Queensland, on fertile clay soils, cattle are gaining 300 kg liveweight per head per year on leucaena pastures.
  Table 2.1.3. Comparative compositions of alfalfa (Medicago saliva)and Malawi-grown leucaena (NAS 1977). [TABLE]
  [TR]
  [TD](a) General compositor
  [/TD]
  [TD]Leucaena leaf
  [/TD]
  [TD]Alfalfa leaf
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Total ash (%)
  [/TD]
  [TD]11.0
  [/TD]
  [TD]16.6
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Total N (%)
  [/TD]
  [TD]4.2
  [/TD]
  [TD]4.3
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Crude protein (%)
  [/TD]
  [TD]25.9
  [/TD]
  [TD]26.9
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Modified-acid-detergent fibre (%)
  [/TD]
  [TD]20.4
  [/TD]
  [TD]21.7
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Calcium (%)
  [/TD]
  [TD]2.36
  [/TD]
  [TD]3.15
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Phosphorus (%)
  [/TD]
  [TD]0.23
  [/TD]
  [TD]0.36
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]b -carotene (mg/kg)
  [/TD]
  [TD]536.0
  [/TD]
  [TD]253.0
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Gross energy (kJ/g)
  [/TD]
  [TD]20.1
  [/TD]
  [TD]18.5
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Tannin (mg/g)
  [/TD]
  [TD]10.15
  [/TD]
  [TD]0.13
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD](b) Amino acid
  [/TD]
  [TD]Leucaena
  [/TD]
  [TD]Alfalfa
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Arginine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]294
  [/TD]
  [TD]357
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Cysteine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]88
  [/TD]
  [TD]77
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Histidine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]125
  [/TD]
  [TD]139
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Isoleucine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]563
  [/TD]
  [TD]290
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Leucine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]469
  [/TD]
  [TD]494
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Lysine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]313
  [/TD]
  [TD]368
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Methionine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]100
  [/TD]
  [TD]96
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Methionine + cysteine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]188
  [/TD]
  [TD]173
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Phenylalanine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]294
  [/TD]
  [TD]307
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Threonine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]231
  [/TD]
  [TD]290
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Tyrosine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]263
  [/TD]
  [TD]232
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Valine (mg/gN)
  [/TD]
  [TD]338
  [/TD]
  [TD]356
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
Loading...