Zitto na Nchemba now on tbc

Lameki anatetea ujinga anadai eti bajeti isipopita ni Achievement kwa CDM
 
Mwiguru anatoka povu eti bajeti hii inaandaliwa na wataalamu wa uchumi kutoka serikalini na wizara ya fedha ambao kila siku wakiamka wanawaza bajeti !!wakati nchi hii inachechemea katika lindi la umasikini???huu ni ujinga wa ajabu wakati!!kila siku kukicha maisha yanazidi kuwa magumu!!Mwigulu unabahatisha katika idara ya uchumi!!
 
Nchemba ni janga la kitaifa.yan huu usomi wa mwigulu ni uchafu.eti ni nilipata A ya public finance kwenye masters digree. Marin hassan anataka kumzuia zito ila zito anaonyesha uwezo mkubwa
 
Kuna issue ya 35% imeachwa hewani coz Nchemba kashindwa kujibu
 
Hii kitu Tbc wanaiandaa ni Kama wanaukandamiza upinzani,wanampa Mwigulu muda mrefu na kummbania Zitto.
 
Nadiriki kusema hivi nina wasiwasi na elimu ya Mwigulu Nchemba msomi ambaye hajui kebehave kama msomi...

1.Kama ni msomi huwezi tupa bajeti ya mwenzako kisa Mpinzani wasomi huwa wanargue kwa hoja na vielelezo.

2.Msomi huwa hana matusi wala kejeli narudia tena wanatoa hoja.

3.Nilitegemea first class economist awe tofauti kidogo..atupe kitu special kwenye bajeti ambacho sisi wa kawaida hatukioni.

4.Iga mfano wa mchumi maarufu Prof.lipumba anatoa hoja tu na sio kejeli wala kutupa bajeti ya Wapinzani.

5.TBC leo Mwigulu kachemka hajui ni kitu gani anapaswa kuongea hasa akiwa na watu makini kama kina Zitto na sio wale wachumia tumbo.

6.Aina hii ya watu wapo wengi kwenye chama chetu na hakika nakwambia hawa ndio watakaokuja kuwa viongozi wetu wa baadae na wanakuja kuuza hii nchi.

Nawasilisha.
 
Tune on TBC now

Zitto kambana kisawasawa hadi Nchemba anagwaya kuwa mara fedha za matumizi ya kawaida zilizongezeka sana katika bajeti hii ni kwa ajili ya Tume ya Katiba, Sensa n.k. Zitto alipotaja kuwa Katiba ni Bilioni 37 tu iweje matumizi yafikie Trilkioni 2.7 Nchemba kadai eti zingine ni kwa ajili ya barabara. Huu uongo kabisa toka lini fedha za barabara zikawekwa katika fungu la matumizi ya kawaida?
 
Marin p...mb.. Zake,tbc huwa wanampeleka dom awabanie wapinzan wanaoongea ukweli. Kwanin kipind hik cha bunge wasiweke mijadala hii had saa 3?wanajiunga na tv za nje,wanajiunga na RT TV nani anajua kingeleza?Kwanini hawathamin mijadala ya ndan hasa wakat huu wa bajet?
 
huyu mwigulu nchemba sijui kwanini alikubali kwenda TBC kujadili mambo ambayo hayamudu

well done zitto ... umeeleza ukweli na ukaeleweka kwa manufaa ya taifa
 
Marin p...mb.. Zake,tbc huwa wanampeleka dom awabanie wapinzan wanaoongea ukweli. Kwanin kipind hik cha bunge wasiweke mijadala hii had saa 3?wanajiunga na tv za nje,wanajiunga na RT TV nani anajua kingeleza?Kwanini hawathamin mijadala ya ndan hasa wakat huu wa bajet?

Mikataba ndugu yangu....mikataba.....sense something?
 
Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba (CCM), nimeona hiki kipindi cha jambo leo Marina H. Marina amemuokoa anayejiita waziri kamili. anaongea, kama anaongea na mke wake chumbani hana jipya na amedhihirisha kweli anachoongea ni kwa maslahi ya kikundi fulani kwani hakutumia elimu yake. kama Master kama anavyosema yeye. Ila kama ni hivi nchi kwishne hatuna watu tuna waropokaji. Safi sana Waziri wa Fedha wa Ukweli MH. ZItto Kabwe. ingekuwa fresh upinzani woote muungane.Bajeti hii ni ya walionacho.
 
Ha haaaa kweli muda utatuambia mchele ni upi na pumba ni zipi,na tusubiri tuone.
 
nina elimu ya shule ya kata,ila kwa hakika ninamzidi huyu jamaa kwa hoja ni mpuuzi sijapata ona hasa alipotupa bajeti ya wapinzani.rubbish.
 
Date of Birth7 July 1978
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Makunda Primary SchoolPrimary Education19871993PRIMARY
Ilboru Secondary SchoolO-Level Education19941997SECONDARY
Mazengo Secondary SchoolA-Level Education19982000HIGH SCHOOL
University of Dar Es SalaamDegree (Economics)20012004GRADUATE
University of Dar Es SalaamMasters(Economics)20042006MASTERS DEGREE
The East African Uongozi InstituteManagement20022003CERTIFICATE
 
Mh! Nchemba kawa mpolee
Aliponichekesha Mwigulu ni pale alipojisahau na kuelezea ni kwanini lazima aitetee bajeti hii mbovu kwa nguvu zake zote ili kuhofia isikwame na kulazimisha Uchaguzi mkuu kurudiwa tena! Ameshajua kwamba uchaguzi mkuu ukifanyika leo hii, CCM byebye!
 
Marin p...mb.. Zake,tbc huwa wanampeleka dom awabanie wapinzan wanaoongea ukweli. Kwanin kipind hik cha bunge wasiweke mijadala hii had saa 3?wanajiunga na tv za nje,wanajiunga na RT TV nani anajua kingeleza?Kwanini hawathamin mijadala ya ndan hasa wakat huu wa bajet?

Kaka watu wanalinda kibarua,ule ule uoga na unafiki wa watanzania....Tido Mhando aliondolewa kwa kushindwa kutekeleza ipasavyo ilani ya CCM mkuu wangu
 
Date of Birth7 July 1978
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Makunda Primary SchoolPrimary Education19871993PRIMARY
Ilboru Secondary SchoolO-Level Education19941997SECONDARY
Mazengo Secondary SchoolA-Level Education19982000HIGH SCHOOL
University of Dar Es SalaamDegree (Economics)20012004GRADUATE
University of Dar Es SalaamMasters(Economics)20042006MASTERS DEGREE
The East African Uongozi InstituteManagement20022003CERTIFICATE

Ukiwa na akili nyingi ni bora uwe Lecturer

Wanasiasa wanatumia mdomo siyo kufikiria xana!!!!!!!!!

Nchemba loooooo, hamnazo"""""" you are not politician

Waachie wenyewe hyo kaz banaaaaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom