Mwenye gari hizi tuwasiliane fasta...!!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Salaam Wana Bodi. Sasa nipo kwenye kampuni flani hizi ya Ujenzi wa barabara huku pande za Songea, na kwa sasa hii kampuni ina shortage ya gari ndogo ka ajili ya Surveyors, sasa kama kuna mwanabodi yeyote ana gari aina ya Pick-up open body tuwasiliane fasta. Hawa jamaa wanalipa vizuri tu kuliko kuiacha gari yako hivihivi(idle). Hii gari itatumika ndani ya kampuni na inapewa mafuta full(Diesel). We gharama yako ni matengenezo tu. Gari zingine wanazohitaji ni Nissani double cabin, Prado, Pajero au gari nyingine yoyote iliyo katika hali nzuri.
Mwenye hii kitu aniPM fasta tu-make plan.....
 
Tuwasiliane niko na pickup, nijue kwanza dau kama inalipa au vip maana hizo kazi za barabara huua sana gari
 
Salaam Wana Bodi. Sasa nipo kwenye kampuni flani hizi ya Ujenzi wa barabara huku pande za Songea, na kwa sasa hii kampuni ina shortage ya gari ndogo ka ajili ya Surveyors, sasa kama kuna mwanabodi yeyote ana gari aina ya Pick-up open body tuwasiliane fasta. Hawa jamaa wanalipa vizuri tu kuliko kuiacha gari yako hivihivi(idle). Hii gari itatumika ndani ya kampuni na inapewa mafuta full(Diesel). We gharama yako ni matengenezo tu. Gari zingine wanazohitaji ni Nissani double cabin, Prado, Pajero au gari nyingine yoyote iliyo katika hali nzuri.
Mwenye hii kitu aniPM fasta tu-make plan.....
vipi dereva wangu au wa kwenye hiyo kampuni?
 
Mimi nina prado na gx land cruiser vipi niambie kwa mwezi ni bei gani ili nisije kujikuta na sumbua mahakama!!
 
Ok,ni ufupi ni kwamba dereva ni we mwenyewe kuamua tu au atoke huko kwako au hukuhuku,kuna madereva wazuri tu huku....sitaandika gharama za aina yoyote on board, ni PM nikuambie gharama wanazolipa hawa jamaa, na barabara za huku sio mbaya kivile, unaweza gari yako ikakaa hadi miezi 4 isiwe na service kubwa yoyote zaidi ya kuwaga oil na greece tu. Kuna Hiace 2 lakini haat hizo hazitoshi so check it out and PM me plz 4 all who are interested!!
 
Back
Top Bottom