Recent content by Larkspur

  1. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Meja Jenerali Abdallah Senussi: Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Jeshi Libya aliyetishia kuita Fighter Jet kulipua Gereza la Abu Salim lililojaa wapinzani

    Mkuu twende kazi wiki ijayo si imefika? Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Kim Jung Un atoa pongezi kwa wafanyakazi wa Wosan

    Chuma ni kizima hakijaliwa na kutu. Hahahaha Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mwanaJF Joseverest?

    Hii account mbona inaonekana iko "active"? Huyu mkuu yupo anatuchora tuu. Yawezekana ndio huyu mkuu aloanzisha hii thread. Multiple IDs maybe ...but sijui cz sina uhakika. Mkuu Joseverest njoo u clear hizi myth hapa. Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mwanaJF Joseverest?

    Hahaha tuko wengi mkuu ambao tulikua tunafurahishwa na ile avatar. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mwanaJF Joseverest?

    Na kwanini tusione? Kwamba hatuna macho au? Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mwanaJF Joseverest?

    Sifa yake kubwa mkuu ni kuwahi mamba katika kila thread. Yuko wapi huyu mkuu? Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Mikia watasema ni photoshop

    Hahahaha utopolo fc waumbuka kwa Picha za Photoshop. Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Larkspur

    JamiiForums Tanzania MNH kufunga mashine moja ya kupumulia Hospitali ya Amana kusaidia wagonjwa wa Corona

    Kweli kupanga ni "kuchagua." Kama VX-V8 zinafikia hadi 200M na Ventilator moja ni around 5OM si kwa kila VX-V8 moja tungepata ventilators 4? Je kuna hizi V8 ngapi hawa viongozi wetu wanatamba nazo barabarani? Kwanini wasione haja ya kupunguza gharama hizo na kuamua kusave lives za watu...
  9. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

    Mkuu Sandali Ali Hapa umeua. Hizi **** zimesimama badala ya kitu gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Wale tunaovaa Barakoa tupeane experience jinsi ya Kuvaa, mwenzenu inaniletea matatizo

    Mkuu bora tu ujitulize nyumbani km unaona barakoa inakuletea shida. Otherwise hutazikwa na ndugu zako. Jikinge na uwakinge wengine. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

    Tumezidisha dhambi hasa za kujifanya wacha Mungu kumbe tuna madudu mengi tunayafanya nyuma ya pazia. Uzuri ni kuwa tukiomba tutasamehewa (kama ambavyo tulifanya maombi kwa nchi nzima) wasiwasi wangu je, tulifanya kwa imani thabiti? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

    Chief sidhani sana kama dua za wazandiki wachache kama hawa zinaweza kulihatarisha taifa la watu over 60M. Nadhani kuna sehemu tumeteleza tunahitaji kutubu. Mungu atuhurumie tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Huyu ni miongoni mwa waliotoroka au ni miongoni mwa waliopona ?

    Huyu hajatoka nduki pale amana? Ajikinge zaidi na atukinge na sisi waTz wenzake. Sent using Iphone X
  14. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

    Mwenyezi Mungu tunakuomba utuepushe na haya majanga. Amina. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Larkspur

    JamiiForums Tanzania Nyuzi muhimu za mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi Jamvini

    Wakuu mwenye uwezo wa kucrack icloud ya iphone S aniPM
Back
Top Bottom