Larkspur
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 205
- 260
Sifa yake kubwa mkuu ni kuwahi mamba katika kila thread. Yuko wapi huyu mkuu?
Larkspur
Sent using Jamii Forums mobile app
Larkspur
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa, naelewa kwanini Smart911 saa zote anaku 'cc'
Hongera
Sinanuhakika kama wote tumeona nilichokiona Mimi.
Mimi ile avatar yake tu nilikuwa nacheka
Nikajua bado utakua umelala kama ulivyonaswa na camera za avatar za jf
Yupo chattle kajificha


ww jamaa kwan kawa jiwe hadi ajifiche chattle


jamani
Hivi unajua huna akili??
Tulia wewe dawa ikuingie wanaita "bwai na iwe bwai"





Nakuchafua kisiasa😛😛
Hivi unajua kuna watu wataamini haya maneno yako?
Na id ya kichwa kichafu ni yangu pia