Meja Jenerali Abdallah Senussi: Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Jeshi Libya aliyetishia kuita Fighter Jet kulipua Gereza la Abu Salim lililojaa wapinzani

Ha ha mtoa Uzi ni mwongo Sana... Toka lini Libya wakawa na su 30 ,, air superiority fighter jet?
Katika air Force ya Libya hawakuwahi kuwa hata na mig 29, su 27, ndo iwe hiyo su 30?
Katika airforce ya Libya ndege ( fighter jets) advanced zaidi ni mig 25 pd, bila kusahau mig 21, na mig 23,,,
Ambazo hizo zote ni less advanced kulinganisha na western fighter jet..
Lingine kazi ya kulipua kitu Kama ghorofa hufanywa na attack air craft Kama vile Su 25 na su 24

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza kujifanya much know kijana
 
Punguza kujifanya much know kijana
Unachofanya we ni fallacy tu.. jibu hoja kwa hoja! Je Libya waliwahi kuwa na su 30? Jibu no hapana! Sasa kwanini ukubaliane kirahisi hivyo..
Usipojua chochote hutakiwi kuhoji chochote.. sema Nini utamu wa stori ya msela katika namna ya drama umekufanya usifikiri zaidi ya anachokiandika na unakipokea Kama kilivyo pole baba eh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha mtoa Uzi ni mwongo Sana... Toka lini Libya wakawa na su 30 ,, air superiority fighter jet?
Katika air Force ya Libya hawakuwahi kuwa hata na mig 29, su 27, ndo iwe hiyo su 30?
Katika airforce ya Libya ndege ( fighter jets) advanced zaidi ni mig 25 pd, bila kusahau mig 21, na mig 23,,,
Ambazo hizo zote ni less advanced kulinganisha na western fighter jet..
Lingine kazi ya kulipua kitu Kama ghorofa hufanywa na attack air craft Kama vile Su 25 na su 24

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua baada ya Saddam Hussein, mnunuzi wa pili wa silaha za Soviet/Russia ni Qaddafi kwa nchi za waarabu?
 
Back
Top Bottom